Lava (volkeno) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Removed redirect to Zaha
Tag: Removed redirect
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
<sup>Kwa kutaja watoto wa wadudu angalia makala ya [[lava]]</sup>
<sup>Kwa kutaja watoto wa wadudu angalia makala ya [[lava]]</sup>
[[File:Lava Lake Nyiragongo 2.jpg|thumb|right|300px|Ziwa ya lava kwenye [[Mlima Nyiragongo]] katika [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]]]
[[File:Lava Lake Nyiragongo 2.jpg|thumb|right|300px|Ziwa ya lava kwenye [[Mlima Nyiragongo]] katika [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]]]
'''Lava''' ([[ing.]]/[[lat.]] [[w:lava|lava]], wakati mwingine pia "zaha") ni [[mwamba (jiolojia)|mwamba]] ulio katika hali ya [[kiowevu]] kutokana na joto kali. Chini ya uso wa [[dunia]] mwamba joto wa kuyeyuka huitwa "[[magma]]" badala ya lava. Sawa na magma yenyewe lava inaweza kuwa nzito kama uji-uji au nyepesi kama maji-maji. <ref name=camilla>{{cite book | last = | first = | authorlink = | coauthors = | title = Earth Science| publisher = Holt, Rinehart and Winston, Austin, Texas| date = 2001| pages = | url = | doi = | id = | isbn = 0-03-055667-8}}</ref> .
'''Lava''' ([[ing.]]/[[lat.]] [[w:lava|lava]], wakati mwingine pia "zaha"<ref>Kamusi za [[TATAKI]] hutaja zaha kama visawe vya lava; kamusi ya [[KAST]] inataja zaha kama visawe vya volkeno yenyewe.</ref>) ni [[mwamba (jiolojia)|mwamba]] ulio katika hali ya [[kiowevu]] kutokana na joto kali. Chini ya uso wa [[dunia]] mwamba joto wa kuyeyuka huitwa "[[magma]]" badala ya lava. Sawa na magma yenyewe lava inaweza kuwa nzito kama uji-uji au nyepesi kama maji-maji. <ref name=camilla>{{cite book | last = | first = | authorlink = | coauthors = | title = Earth Science| publisher = Holt, Rinehart and Winston, Austin, Texas| date = 2001| pages = | url = | doi = | id = | isbn = 0-03-055667-8}}</ref> .


Lava inatoka nje kwa kawaida wakati wa [[mlipuko wa volkeno]]. Inaweza kutoka pia katika ufa kwenye ganda la dunia.
Lava inatoka nje kwa kawaida wakati wa [[mlipuko wa volkeno]]. Inaweza kutoka pia katika ufa kwenye ganda la dunia.

Pitio la 19:54, 28 Juni 2018

Kwa kutaja watoto wa wadudu angalia makala ya lava

Ziwa ya lava kwenye Mlima Nyiragongo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Lava (ing./lat. lava, wakati mwingine pia "zaha"[1]) ni mwamba ulio katika hali ya kiowevu kutokana na joto kali. Chini ya uso wa dunia mwamba joto wa kuyeyuka huitwa "magma" badala ya lava. Sawa na magma yenyewe lava inaweza kuwa nzito kama uji-uji au nyepesi kama maji-maji. [2] .

Lava inatoka nje kwa kawaida wakati wa mlipuko wa volkeno. Inaweza kutoka pia katika ufa kwenye ganda la dunia.

Wakati wa kutoka hali yake ni kiowevu yenye halijoto kati ya 600°C hadi 1200 °C. Ndani ya shimo la kasoko ya volkeno lava inaweza kukaa kama ziwa la kuchemka.

Ikitoka nje ya kasoko inaweza kuwa kama mto wa moto. Mwendo wake hutegemea na mnato wake yaani kama hali yake ni zaidi majimaji au ujiuji. Kadiri inavyoenea mbali na kasoko inapoa na kuwa mwamba.

Ikipoa inaganda na kuwa mwamba imara

Marejeo

  1. Kamusi za TATAKI hutaja zaha kama visawe vya lava; kamusi ya KAST inataja zaha kama visawe vya volkeno yenyewe.
  2. Earth Science. Holt, Rinehart and Winston, Austin, Texas. 2001. ISBN 0-03-055667-8.