Lava (volkeno) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa umeelekezwa kwenda Zaha
Removed redirect to Zaha
Tag: Removed redirect
Mstari 1: Mstari 1:
<sup>Kwa kutaja watoto wa wadudu angalia makala ya [[lava]]</sup>
#REDIRECT [[zaha]]
[[File:Lava Lake Nyiragongo 2.jpg|thumb|right|300px|Ziwa ya lava kwenye [[Mlima Nyiragongo]] katika [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]]]
'''Lava''' ([[ing.]]/[[lat.]] [[w:lava|lava]], wakati mwingine pia "zaha") ni [[mwamba (jiolojia)|mwamba]] ulio katika hali ya [[kiowevu]] kutokana na joto kali. Chini ya uso wa [[dunia]] mwamba joto wa kuyeyuka huitwa "[[magma]]" badala ya lava. Sawa na magma yenyewe lava inaweza kuwa nzito kama uji-uji au nyepesi kama maji-maji. <ref name=camilla>{{cite book | last = | first = | authorlink = | coauthors = | title = Earth Science| publisher = Holt, Rinehart and Winston, Austin, Texas| date = 2001| pages = | url = | doi = | id = | isbn = 0-03-055667-8}}</ref> .

Lava inatoka nje kwa kawaida wakati wa [[mlipuko wa volkeno]]. Inaweza kutoka pia katika ufa kwenye ganda la dunia.

Wakati wa kutoka hali yake ni kiowevu yenye halijoto kati ya 600[[°C]] hadi 1200&nbsp;°C. Ndani ya shimo la [[kasoko]] ya [[volkeno]] lava inaweza kukaa kama ziwa la kuchemka.

Ikitoka nje ya kasoko inaweza kuwa kama mto wa moto. Mwendo wake hutegemea na mnato wake yaani kama hali yake ni zaidi majimaji au ujiuji. Kadiri inavyoenea mbali na kasoko inapoa na kuwa mwamba.

Ikipoa inaganda na kuwa [[mwamba (jiolojia)|mwamba]] imara

<gallery>
Image:Stromboli Eruption.jpg|Mlipuko wa volkeno ya [[Stromboli]] ([[Italia]])- kile chekundu kwenye picha ni lava.
Image:Aa_large.jpg|Mto wa lava kwenye volkeno ya [[Kilauea]] ([[Hawaii]])
Image:PahoehoeLava.jpg|Lava ikipoa inaweza kuonekana hivyo.
Image:Nyiragongo lava lake.jpg|Ziwa la lava ndani ya [[kasoko]] ya mlima [[Nyiragongo]] huko [[Goma]] (Kongo)
Image:Kalapana_house_destroyed_by_lava.jpg|Mto wa Lava inavyoharibu nyumba huko Hawaii mwaka 1990
</gallery>

== Marejeo ==
<references/>


[[Jamii:Volkeno]]
[[Jamii:Jiolojia]]

Pitio la 18:39, 28 Juni 2018

Kwa kutaja watoto wa wadudu angalia makala ya lava

Ziwa ya lava kwenye Mlima Nyiragongo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Lava (ing./lat. lava, wakati mwingine pia "zaha") ni mwamba ulio katika hali ya kiowevu kutokana na joto kali. Chini ya uso wa dunia mwamba joto wa kuyeyuka huitwa "magma" badala ya lava. Sawa na magma yenyewe lava inaweza kuwa nzito kama uji-uji au nyepesi kama maji-maji. [1] .

Lava inatoka nje kwa kawaida wakati wa mlipuko wa volkeno. Inaweza kutoka pia katika ufa kwenye ganda la dunia.

Wakati wa kutoka hali yake ni kiowevu yenye halijoto kati ya 600°C hadi 1200 °C. Ndani ya shimo la kasoko ya volkeno lava inaweza kukaa kama ziwa la kuchemka.

Ikitoka nje ya kasoko inaweza kuwa kama mto wa moto. Mwendo wake hutegemea na mnato wake yaani kama hali yake ni zaidi majimaji au ujiuji. Kadiri inavyoenea mbali na kasoko inapoa na kuwa mwamba.

Ikipoa inaganda na kuwa mwamba imara

Marejeo

  1. Earth Science. Holt, Rinehart and Winston, Austin, Texas. 2001. ISBN 0-03-055667-8.