Baraza la mawaziri Tanzania 2015 : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 64: Mstari 64:
|-
|-
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[ Waziri wa Mifugo na Uvuvi Tanzania| Wizara ya Mifugo na Uvuvi]]
| [[ Wizara ya Mifugo na Uvuvi Tanzania| Wizara ya Mifugo na Uvuvi]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[Luhaga Joelson Mpina]]
| [[Luhaga Joelson Mpina]]
|-
|-
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania|Wizara ya Katiba na Sheria]]
| [[Wizara ya Sheria na Katiba ya Tanzania|Sheria na Katiba]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| Professor. [[Paramagamba John Aidan Mwaluko Kabudi]]
| Professor. [[Paramagamba John Aidan Mwaluko Kabudi]]
|-
|-
| [[File:Hussein Mwinyi.jpg|75px]]
| [[File:Hussein Mwinyi.jpg|75px]]
| [[Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania|Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa]]
| [[Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania|Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[Hussein Ali Mwinyi]]
| [[Hussein Ali Mwinyi]]
|-
|-
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[Waziri wa Elimu, Teknolojia na Ufundi Tanzania|Wizara ya Elimu, Teknolojia na Ufundi ]]
| [[Wizara ya Elimu, Teknolojia na Ufundi Tanzania|Wizara ya Elimu, Teknolojia na Ufundi ]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| Professor. [[Joyce Lazaro Ndalichako]]
| Professor. [[Joyce Lazaro Ndalichako]]
|-
|-
| [[File:Medard Kalemani.jpg|75px]]
| [[File:Medard Kalemani.jpg|75px]]
| [[Waziri wa Nishati Tanzania|Wizara ya Nishati]]
| [[Wizara ya Nishati Tanzania|Wizara ya Nishati]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[Medard Matogolo Kalemani]]
| [[Medard Matogolo Kalemani]]
|-
|-
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[Waziri wa Fedha Tanzania|Wizara ya Fedha na Mipango]]
| [[Wizara ya Fedha Tanzania|Wizara ya Fedha na Mipango]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| Dr. [[Philip Mpango]]
| Dr. [[Philip Mpango]]
|-
|-
| [[File:Augustine Mahiga (cropped).jpg|75px]]
| [[File:Augustine Mahiga (cropped).jpg|75px]]
| [[Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania|Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa]]
| [[Wizara ya Mambo ya Nje Tanzania|Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| Dr. [[Augustine Philip Mahiga]]
| Dr. [[Augustine Philip Mahiga]]
|-
|-
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Tanzania|Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto]]
| [[Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Tanzania|Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[Ummy Ally Mwalimu]]
| [[Ummy Ally Mwalimu]]
|-
|-
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania|Wizara ya Mambo ya Ndani]]
| [[Wizara ya Mambo ya Ndani Tanzania|Wizara ya Mambo ya Ndani]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[Mwigulu Lameck Nchemba Madelu]]
| [[Mwigulu Lameck Nchemba Madelu]]
|-
|-
| [[File:Charles Mwijage.jpg|75px]]
| [[File:Charles Mwijage.jpg|75px]]
| [[Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Tanzania|Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji]]
| [[Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Tanzania|Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[Charles John Mwijage]]
| [[Charles John Mwijage]]
|-
|-
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Tanzania|Wizara wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo]]
| [[Wizara ya Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Tanzania|Wizara wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| Dr. [[Harrison Mwakyembe]]
| Dr. [[Harrison Mwakyembe]]
|-
|-
| [[File:William Lukuvi cropped.png|75px]]
| [[File:William Lukuvi cropped.png|75px]]
| [[Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Tanzania|Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi]]
| [[Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Tanzania|Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[William Lukuvi]]
| [[William Lukuvi]]
|-
|-
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania|Wizara ya Maliasili na Utalii]]
| [[Wizara ya Maliasili na Utalii Tanzania|Wizara ya Maliasili na Utalii]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[Hamisi Andrea Kigwangalla]]
| [[Hamisi Andrea Kigwangalla]]
|-
|-
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[Waziri wa Maji na Umwagiliaji Tanzania|Wizara ya Maji na Umwagiliaji]]
| [[Wizara ya Maji na Umwagiliaji Tanzania|Wizara ya Maji na Umwagiliaji]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[Gerson Hosea Malangalila Lwenge]]
| [[Gerson Hosea Malangalila Lwenge]]
|-
|-
| [[File:Makame Mbarawa IAEA.png|75px]]
| [[File:Makame Mbarawa IAEA.png|75px]]
| [[Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Tanzania)|Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano]]
| [[Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Tanzania)|Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[Makame Mbarawa]] <small>(alihamishwa kuoka kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji tar. 23.Desemba 2015)</small>
| [[Makame Mbarawa]] <small>(alihamishwa kuoka kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji tar. 23.Desemba 2015)</small>

Pitio la 05:40, 12 Juni 2018

Baraza la Mawaziri la Tanzania ni ngazi ya juu ya serikali au mkono wa utendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mfumo wa mgawanyo wa madaraka.

Baraza hili linaundwa na rais, makamu wa rais, rais wa Zanzibar, waziri mkuu na mawaziri wote. [1] Manaibu mawaziri si sehemu ya baraza. Mwanasheria Mkuu anashiriki katika mikutano ya baraza bila haki ya kupiga kura.

Mikutano ya baraza inaongozwa na Rais kama mwenyekiti, kama hayupo na Makamu wa Rais, na kama wote wawili hawapo na Waziri Mkuu.[2]

Serikali iliyopo ilitangazwa na John Magufuli, rais wa tano wa Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 mnamo tarehe 10 Desemba 2015. Isipokuwa nafasi 4 zilichelewa kutajwa majina hadi tarehe 23 Desemba, na hapo waliingia Jumanne Maghembe, Philip Mpango, Gerson Lwenge na Joyce Ndalichako. Siku hiyohiyo Makame Mbarawa alihamishwa kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji na kwenda Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

Chama anachotoka Chama Cha Mapinduzi
Baraza la mawaziri la Tanzania: tangu Novemba 2015[3][4][5]
Picha Majukumu Jina
Raisi
Amiri jeshi mkuu
Dr. John Magufuli
Makamu wa Rais Samia Suluhu
Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Faili:Abdallah Ulega.jpg Wizara ya Kilimo Abdallah Hamis Ulega
Waziri wa Ofisi ya Raisi
TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora
Selemani Said Jafo
Wizara ya Madini Angellah Kairuki
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais
Masuala ya Muungano, Mazingira
January Makamba
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu
Jenista Mhagama
Wizara ya Mifugo na Uvuvi Luhaga Joelson Mpina
Sheria na Katiba Professor. Paramagamba John Aidan Mwaluko Kabudi
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussein Ali Mwinyi
Wizara ya Elimu, Teknolojia na Ufundi Professor. Joyce Lazaro Ndalichako
Faili:Medard Kalemani.jpg Wizara ya Nishati Medard Matogolo Kalemani
Wizara ya Fedha na Mipango Dr. Philip Mpango
Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dr. Augustine Philip Mahiga
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Ally Mwalimu
Wizara ya Mambo ya Ndani Mwigulu Lameck Nchemba Madelu
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles John Mwijage
Wizara wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
Wizara ya Maliasili na Utalii Hamisi Andrea Kigwangalla
Wizara ya Maji na Umwagiliaji Gerson Hosea Malangalila Lwenge
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Makame Mbarawa (alihamishwa kuoka kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji tar. 23.Desemba 2015)
(anahudhuria mikutano ya baraza la mawaziri bila kupiga kura
Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Dr. Adelardus Kilangi

Marejeo

  1. Cabinet of Tanzania. tanzania.go.tz (May 2012). Iliwekwa mnamo May 2012.
  2. Katiba ya Tanzania, fungu 54
  3. Baraza la Mawaziri. Ikulu (10 December 2015).
  4. "Magufuli releases long awaited cabinet", 10 December 2015. 
  5. Chama Cha Mapinduzi [@ccm_tanzania] (10 December 2015). Rais Magufuli atangaza Baraza la Mawaziri (Swahili).

Tazama pia

Wizara za Serikali ya Tanzania Orodha_ya_Mawaziri_Wakuu_wa_Tanzania