Baraza la mawaziri Tanzania 2015 : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 66: Mstari 66:
| [[ Waziri wa Mifugo na Uvuvi Tanzania| Wizara ya Mifugo na Uvuvi]]
| [[ Waziri wa Mifugo na Uvuvi Tanzania| Wizara ya Mifugo na Uvuvi]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[Luhaga Mpina]]
| [[Luhaga Joseph Mpina]]
|-
|-
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[File:No image.svg|75px]]
Mstari 76: Mstari 76:
| [[Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania|Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa]]
| [[Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Tanzania|Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[Hussein Mwinyi]]
| [[Hussein Ali Mwinyi]]
|-
|-
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[File:No image.svg|75px]]
Mstari 101: Mstari 101:
| [[Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Tanzania|Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto]]
| [[Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Tanzania|Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[Ummy Mwalimu]]
| [[Ummy Ally Mwalimu]]
|-
|-
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania|Wizara ya Mambo ya Ndani]]
| [[Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania|Wizara ya Mambo ya Ndani]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[Mwigulu Nchemba]]
| [[Mwigulu Lameck Nchemba]]
|-
|-
| [[File:Charles Mwijage.jpg|75px]]
| [[File:Charles Mwijage.jpg|75px]]

Pitio la 14:08, 11 Juni 2018

Baraza la Mawaziri la Tanzania ni ngazi ya juu ya serikali au mkono wa utendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mfumo wa mgawanyo wa madaraka.

Baraza hili linaundwa na rais, makamu wa rais, rais wa Zanzibar, waziri mkuu na mawaziri wote. [1] Manaibu mawaziri si sehemu ya baraza. Mwanasheria Mkuu anashiriki katika mikutano ya baraza bila haki ya kupiga kura.

Mikutano ya baraza inaongozwa na Rais kama mwenyekiti, kama hayupo na Makamu wa Rais, na kama wote wawili hawapo na Waziri Mkuu.[2]

Serikali iliyopo ilitangazwa na John Magufuli, rais wa tano wa Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 mnamo tarehe 10 Desemba 2015. Isipokuwa nafasi 4 zilichelewa kutajwa majina hadi tarehe 23 Desemba, na hapo waliingia Jumanne Maghembe, Philip Mpango, Gerson Lwenge na Joyce Ndalichako. Siku hiyohiyo Makame Mbarawa alihamishwa kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji na kwenda Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

Chama anachotoka Chama Cha Mapinduzi
Baraza la mawaziri la Tanzania: tangu Novemba 2015[3][4][5]
Picha Majukumu Jina
Raisi
Amiri jeshi mkuu
Dr. John Magufuli
Makamu wa Rais Samia Suluhu
Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Faili:Abdallah Ulega.jpg Wizara ya Kilimo Abdallah Ulega
Waziri wa Ofisi ya Raisi
TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora
Selemeni Jafo
Wizara ya Madini Angellah Kairuki
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais
Masuala ya Muungano, Mazingira
January Makamba
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu
Jenista Mhagama
Wizara ya Mifugo na Uvuvi Luhaga Joseph Mpina
Wizara ya Katiba na Sheria Professor. Paramagamba John Aidan Mwaluko Kabudi
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussein Ali Mwinyi
Wizara ya Elimu, Teknolojia na Ufundi Professor. Joyce Ndalichako
Faili:Medard Kalemani.jpg Wizara ya Nishati Medard Kalemani
Wizara ya Fedha na Mipango Dr. Philip Mpango
Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Dr. Augustine Mahiga
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Ally Mwalimu
Wizara ya Mambo ya Ndani Mwigulu Lameck Nchemba
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles John Mwijage
Wizara wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
Wizara ya Maliasili na Utalii Hamisi Andrea Kigwangalla
Wizara ya Maji na Umwagiliaji Gerson Lwenge
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Makame Mbarawa (alihamishwa kuoka kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji tar. 23.Desemba 2015)
(anahudhuria mikutano ya baraza la mawaziri bila kupiga kura
Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Dr. Adelardus Kilangi

Marejeo

  1. Cabinet of Tanzania. tanzania.go.tz (May 2012). Iliwekwa mnamo May 2012.
  2. Katiba ya Tanzania, fungu 54
  3. Baraza la Mawaziri. Ikulu (10 December 2015).
  4. "Magufuli releases long awaited cabinet", 10 December 2015. 
  5. Chama Cha Mapinduzi [@ccm_tanzania] (10 December 2015). Rais Magufuli atangaza Baraza la Mawaziri (Swahili).

Tazama pia

Wizara za Serikali ya Tanzania Orodha_ya_Mawaziri_Wakuu_wa_Tanzania