Kikapu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8: Mstari 8:


Vikapu vingine vinafungwa na kifuniko, wengine huachwa wazi.
Vikapu vingine vinafungwa na kifuniko, wengine huachwa wazi.

== Picha ==
<gallery widths="200px" heights="200px" perrow="5">
File:Baskets four styles.jpg |Mitindo minne
File:Baskets - Danforth Museum - Framingham, MA - DSC00267.JPG|Vikapu [[Danforth Museum]] - [[Framingham]], MA
File:Nuu-chah-nulth baskets (UBC2010).jpg|Vikapu vya [[Nuu-chah-nulth]], [[Kanada]])
File:Baskets for sale (2902069972).jpg|Vikapu vikiuzwa kisiwani [[La Réunion]]
File:Straw hats and baskets.jpg|Vikapu na vinginevyo vikuzwa [[Luangwa, Zambia|Luangwa]], [[Zambia]].
File:Storage basket, Pomo people, Honolulu Museum of Art, 2013-16-01.JPG|Vikapu vya [[Wapomo]], [[California]]
File:Trinket Basket, Makah people, Northwest Washington, late 19th to early 20th century, twined and plaited bear grass, sedge, cedar bark - Chazen Museum of Art - DSC01868.JPG |Vikapu vya [[Wamakah]], [[Marekani]]
File:Nootka Makah baskets - Pacific Grove Museum of Natural History - DSC06592.JPG|Vikapu vingine vya Wamakah
File:Eth1 coffeelady.jpg|[[Mwanamke]] wa [[Ethiopia]] akikusanya [[kahawa]]
Image:Seri_olla_basket_1.JPG|Vikpu vya [[Waseri]], [[Mexico]]
</gallery>


{{mbegu-utamaduni}}
{{mbegu-utamaduni}}

Pitio la 13:05, 11 Juni 2018

Kikapu ni kifaa ambacho kijadi hutumika kubebea vitu.

Kinatengenezwa kutoka nyuzi ngumu, ambazo zinaweza kufanywa kutokana na vitu mbalimbali, kama vile mianzi, minyaa, matete, mikonge pamoja na vipande vya mbao.

Wakati vikapu vingi vinatengenezwa kutoka kwa vifaa vya mimea, vifaa vingine kama singa za farasi, nyangumi, au nyaya za chuma vinaweza kutumiwa.

Vikapu kwa ujumla hutengenezwa kwa mikono.

Vikapu vingine vinafungwa na kifuniko, wengine huachwa wazi.

Picha

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikapu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.