Kisuke : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kisuke''' ni [[kata]] ya [[Wilaya ya Ushetu]] katika [[Mkoa wa Shinyanga]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,467 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Kahama District Council]</ref>
'''Kisuke''' ni kata ya [[Wilaya ya Kahama Vijijini]]
Ambayo inapatikana katika halmashauri ya wilaya ya Ushetu katika [[Mkoa wa Shinyanga]], [[Tanzania]].
Kata ya Kisuke inajumla ya vijiji Vinne, ♥ Kijiji Cha Kisuke (Makao Makuu Ya Kata) ♥Kijiji Cha Itumbo, ♥ Kijiji Cha Kalaba na ♥Kijiji Cha Ipilinga. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,467 waishio humo. Kabla Ya mwaka 2015 Kata ya Kisuke ilikuwa inajumuisha vijiji zaidi ya 12 ambavyo ni *Kisuke *Kalaba *Nyamilangano *Bukomela *Nussa *Ngokolo *Mitonga *Mapamba *Kawekunelela *Itumbo *Kalaba na Ipilinga.
Kata hii ilikuwa ikiongozwa na Diwani Juma Kimisha kwa miaka Kumi mfululizo tangu mwaka 2005 na baadae kata hii kubwa iligawanya na kutengeneza Kata nneyaani ♥Kisuke ♥ Nyamilangano ♥Bukomela na ♥Mapamba
Kwa sasa kata ya Kisuke inaongozwa na Diwani Paul Golani (CCM) aliyeshinda uchaguzi ws mwaka 2015 Kwa kumbwaga Aliyekuwa mgombea wa Ukawa Ndugu Joseph Charkes Mtumwa kwa zaidi ya kura 300
SHUGHULI ZA KILIMO
wakazi wa kata hii ya Kisuke wanajishughulisha sana na kilimo na ufugaji
Wazee mashuhuri wa kijiji hiki na kata hii kwa uchache ni Mzee Nyahinga Katumbati mfugaji wa nyuki mkubwa, Mzee John Lutonja nk
ELIMU
Kata hii Ya Kisuke ina Shule za msingi mbili [{Shule Ya Msingi Kisuke}] [{Shule Ya Msingi Itumbo}] na pia kuna Mradi wa kujenga shule mbili katika vijiji vya Ipilinga na Kalaba
HUDUMA ZA AFYA
Kata ya Kisuke ina kituo kimoja cha Afya kilichopo katika senta ya Kisuke kilichojengwa mwanzoni mwa miaka ya 1990
BIASHARA
Kata ya kisuke ina magulio mawili. Gulio la Kisuke lililopo katika mtaa wa mji mwema kijiji cha Kisuke na Gulio la Itumbo lililopo kataka mtaa wa senta katika kijiji cha Itumbo
[[DINI]]
wakazi wengi wa kata hii ni wakristo na waislamu huku idadi ndogo ya watu wakiwa ni wasio fungamana na dini yeyote
ENEO LA KIHISTORIA
kata ya Kisuke ilishawahi kutembelewa na {{Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe J.K Nyerere}} mnamo mwaka 1973 Na alifanya uzinduzi wa Ofisi ya CCM kata ya Kisuke amayo mpaka leo ipo na inaendelea kutumikahi


Hadi mwaka [[2015]] kata ya Kisuke ilikuwa inajumuisha [[vijiji]] zaidi ya 12 ambavyo ni: Kisuke, Kalaba, Nyamilangano, Bukomela, Nussa, Ngokolo, Mitonga, Mapamba, Kawekunelela, Itumbo, Kalaba na Ipilinga. Kata hii ilikuwa ikiongozwa na [[diwani]] Juma Kimisha kwa miaka kumi mfululizo tangu mwaka [[2005]]. Baada ya hapo kata hiyo kubwa iligawanya na kutengeneza kata [[nne]] yaani: Kisuke, [[Nyamilangano]], [[Bukomela]] na [[Mapamba]].


Kata ya Kisuke imebaki na vijiji vinne tu: Kisuke ([[makao makuu]] ya kata), Itumbo, Kalaba na Ipilinga. Kwa sasa kata inaongozwa na diwani Paul Golani ([[CCM]]) aliyeshinda [[uchaguzi]] wa mwaka 2015 kwa kumbwaga [[mgombea]] wa [[UKAWA]] Joseph Charkes Mtumwa kwa zaidi ya [[kura]] 300.
<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Kahama District Council]</ref>
==Elimu==
Kata ya Kisuke ina [[Shule ya msingi|Shule za msingi]] [[mbili]]: Shule Ya Msingi Kisuke na Shule Ya Msingi Itumbo. Pia kuna mradi wa kujenga [[shule]] nyingine [[mbili]] katika vijiji vya Ipilinga na Kalaba.

==Huduma za afya==
Kata ina [[kituo cha afya]] kilichopo katika senta ya Kisuke kilichojengwa mwanzoni mwa [[miaka ya 1990]].

==Uchumi==
Wakazi wa kata ya Kisuke wanajishughulisha sana na [[kilimo]] na [[ufugaji]]. Kati ya wazee mashuhuri wa kijiji hiki na kata hii kuna Nyahinga Katumbati, mfugaji wa [[nyuki]] mkubwa, John Lutonja n.k.

==Biashara==
Kata ina magulio mawili: gulio la Kisuke lililopo katika [[mtaa]] wa Mji Mwema kijiji cha Kisuke, na gulio la Itumbo lililopo katika mtaa wa Senta katika kijiji cha Itumbo.

==Dini==
Wakazi wengi wa kata hii ni [[Wakristo]] na [[Waislamu]], huku [[idadi]] ndogo ya [[watu]] wakiwa ni wasiofungamana na [[dini]] yoyote.

=Eneo la kihistoria==
Kata ya Kisuke ilishawahi kutembelewa na [[Rais]] wa [[Jamhuri ya Muungano wa Tanzania]], [[Julius K. Nyerere]], mnamo mwaka [[1973]] alipofanya [[uzinduzi]] wa [[Ofisi]] ya CCM kata ya Kisuke ambayo mpaka leo ipo na inaendelea kutumika.


==Marejeo==
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{marejeo}}

{{Kata za Wilaya ya Kahama Vijijini}}
{{Kata za Wilaya ya Kahama Vijijini}}

{{mbegu-jio-shinyanga}}
{{mbegu-jio-shinyanga}}



Pitio la 10:01, 2 Juni 2018

Kisuke ni kata ya Wilaya ya Ushetu katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,467 waishio humo.[1]

Hadi mwaka 2015 kata ya Kisuke ilikuwa inajumuisha vijiji zaidi ya 12 ambavyo ni: Kisuke, Kalaba, Nyamilangano, Bukomela, Nussa, Ngokolo, Mitonga, Mapamba, Kawekunelela, Itumbo, Kalaba na Ipilinga. Kata hii ilikuwa ikiongozwa na diwani Juma Kimisha kwa miaka kumi mfululizo tangu mwaka 2005. Baada ya hapo kata hiyo kubwa iligawanya na kutengeneza kata nne yaani: Kisuke, Nyamilangano, Bukomela na Mapamba.

Kata ya Kisuke imebaki na vijiji vinne tu: Kisuke (makao makuu ya kata), Itumbo, Kalaba na Ipilinga. Kwa sasa kata inaongozwa na diwani Paul Golani (CCM) aliyeshinda uchaguzi wa mwaka 2015 kwa kumbwaga mgombea wa UKAWA Joseph Charkes Mtumwa kwa zaidi ya kura 300.

Elimu

Kata ya Kisuke ina Shule za msingi mbili: Shule Ya Msingi Kisuke na Shule Ya Msingi Itumbo. Pia kuna mradi wa kujenga shule nyingine mbili katika vijiji vya Ipilinga na Kalaba.

Huduma za afya

Kata ina kituo cha afya kilichopo katika senta ya Kisuke kilichojengwa mwanzoni mwa miaka ya 1990.

Uchumi

Wakazi wa kata ya Kisuke wanajishughulisha sana na kilimo na ufugaji. Kati ya wazee mashuhuri wa kijiji hiki na kata hii kuna Nyahinga Katumbati, mfugaji wa nyuki mkubwa, John Lutonja n.k.

Biashara

Kata ina magulio mawili: gulio la Kisuke lililopo katika mtaa wa Mji Mwema kijiji cha Kisuke, na gulio la Itumbo lililopo katika mtaa wa Senta katika kijiji cha Itumbo.

Dini

Wakazi wengi wa kata hii ni Wakristo na Waislamu, huku idadi ndogo ya watu wakiwa ni wasiofungamana na dini yoyote.

Eneo la kihistoria=

Kata ya Kisuke ilishawahi kutembelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Julius K. Nyerere, mnamo mwaka 1973 alipofanya uzinduzi wa Ofisi ya CCM kata ya Kisuke ambayo mpaka leo ipo na inaendelea kutumika.

Marejeo

Kigezo:Kata za Wilaya ya Kahama Vijijini

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisuke kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.