Kisuke : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 13: Mstari 13:
BIASHARA
BIASHARA
Kata ya kisuke ina magulio mawili. Gulio la Kisuke lililopo katika mtaa wa mji mwema kijiji cha Kisuke na Gulio la Itumbo lililopo kataka mtaa wa senta katika kijiji cha Itumbo
Kata ya kisuke ina magulio mawili. Gulio la Kisuke lililopo katika mtaa wa mji mwema kijiji cha Kisuke na Gulio la Itumbo lililopo kataka mtaa wa senta katika kijiji cha Itumbo
DINI
[[DINI]]
wakazi wengi wa kata hii ni wakristo na waislamu huku idadi ndogo ya watu wakiwa ni wasio fungamana na dini yeyote
wakazi wengi wa kata hii ni wakristo na waislamu huku idadi ndogo ya watu wakiwa ni wasio fungamana na dini yeyote
ENEO LA KIHISTORIA
ENEO LA KIHISTORIA
kata ya Kisuke ilishawahi kutembelewa na [{Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe J.K Nyerere}] mnamo mwaka 1973 Na alifanya uzinduzi wa Ofisi ya CCM kata ya Kisuke amayo mpaka leo ipo na inaendelea kutumikahi
kata ya Kisuke ilishawahi kutembelewa na {{Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe J.K Nyerere}} mnamo mwaka 1973 Na alifanya uzinduzi wa Ofisi ya CCM kata ya Kisuke amayo mpaka leo ipo na inaendelea kutumikahi





Pitio la 21:11, 1 Juni 2018

Kisuke ni kata ya Wilaya ya Kahama Vijijini Ambayo inapatikana katika halmashauri ya wilaya ya Ushetu katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania. Kata ya Kisuke inajumla ya vijiji Vinne, ♥ Kijiji Cha Kisuke (Makao Makuu Ya Kata) ♥Kijiji Cha Itumbo, ♥ Kijiji Cha Kalaba na ♥Kijiji Cha Ipilinga. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,467 waishio humo. Kabla Ya mwaka 2015 Kata ya Kisuke ilikuwa inajumuisha vijiji zaidi ya 12 ambavyo ni *Kisuke *Kalaba *Nyamilangano *Bukomela *Nussa *Ngokolo *Mitonga *Mapamba *Kawekunelela *Itumbo *Kalaba na Ipilinga.

Kata hii ilikuwa ikiongozwa na Diwani Juma Kimisha kwa miaka Kumi mfululizo tangu mwaka 2005 na baadae kata hii kubwa iligawanya na kutengeneza Kata nneyaani ♥Kisuke ♥ Nyamilangano ♥Bukomela na ♥Mapamba

Kwa sasa kata ya Kisuke inaongozwa na Diwani Paul Golani (CCM) aliyeshinda uchaguzi ws mwaka 2015 Kwa kumbwaga Aliyekuwa mgombea wa Ukawa Ndugu Joseph Charkes Mtumwa kwa zaidi ya kura 300

      SHUGHULI ZA KILIMO
wakazi wa kata hii ya Kisuke wanajishughulisha sana na kilimo na ufugaji

Wazee mashuhuri wa kijiji hiki na kata hii kwa uchache ni Mzee Nyahinga Katumbati mfugaji wa nyuki mkubwa, Mzee John Lutonja nk

     ELIMU

Kata hii Ya Kisuke ina Shule za msingi mbili ♥ [{Shule Ya Msingi Kisuke}] ♥ [{Shule Ya Msingi Itumbo}] na pia kuna Mradi wa kujenga shule mbili katika vijiji vya Ipilinga na Kalaba

   HUDUMA ZA AFYA

Kata ya Kisuke ina kituo kimoja cha Afya kilichopo katika senta ya Kisuke kilichojengwa mwanzoni mwa miaka ya 1990

    BIASHARA

Kata ya kisuke ina magulio mawili. Gulio la Kisuke lililopo katika mtaa wa mji mwema kijiji cha Kisuke na Gulio la Itumbo lililopo kataka mtaa wa senta katika kijiji cha Itumbo

     DINI

wakazi wengi wa kata hii ni wakristo na waislamu huku idadi ndogo ya watu wakiwa ni wasio fungamana na dini yeyote

      ENEO LA KIHISTORIA

kata ya Kisuke ilishawahi kutembelewa na Kigezo:Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe J.K Nyerere mnamo mwaka 1973 Na alifanya uzinduzi wa Ofisi ya CCM kata ya Kisuke amayo mpaka leo ipo na inaendelea kutumikahi


[1]

Marejeo

Kigezo:Kata za Wilaya ya Kahama Vijijini

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisuke kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.