Galaksi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
masahihisho madogo
Mstari 9: Mstari 9:
Galaksi iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda (galaksi)|Andromeda]] na ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5.
Galaksi iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda (galaksi)|Andromeda]] na ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5.


[[Idadi]] kamili ya galaksi zote angani haijulikani. Kuna ma[[kadirio]] ya kwamba idadi ya galaksi bilioni inaweza kuangaliwa kwa vyombo vinavyopatikana. Hadi sasa sehemu ndogo tu imehesabiwa lakini mara kwa mara galaksi mpya zinatambuliwa kwa njia ya [[darubini]] au vyombo vya angani.
[[Idadi]] kamili ya galaksi zote angani haijulikani. Kuna makadirio ya kwamba idadi ya galaksi zinazoweza kuangaliwa kwa vyombo vinavyopatikana ni mabilioni. Hadi sasa sehemu ndogo tu imehesabiwa lakini mara kwa mara galaksi mpya zinatambuliwa kwa njia ya [[darubini]] au vyombo vya angani.


Galaksi zinazojulikana zimepewa namba katika orodha ya kimataifa ya [[wanasayansi]] wa [[astronomia]].
Galaksi zinazojulikana zimepewa namba katika orodha ya kimataifa na [[wanasayansi]] wa [[astronomia]].


Galaksi kati yao hujumuika pia zikiathiriana kwa njia ya [[graviti]] yao na kuzunguka kitovu cha graviti cha pamoja. Galaksi hadi 50 zinazoshikamana katika [[kipenyo]] cha [[miaka ya nuru]] milioni 10 huitwa [[kundi la galaksi]] (ing. ''galaxy group''). Kuna pia galaksi mamia hadi maelfu kadhaa zinazoshikamana na hii huitwa [[fundo la galaksi]] (ing. ''galaxy cluster'') linaweze kuwa na kipenyo ch miaka ya nuru milioni 10 - 20.
Galaksi kati yao hujumuika pia zikiathiriana kwa njia ya [[graviti]] yao na kuzunguka kitovu cha graviti cha pamoja. Galaksi hadi 50 zinazoshikamana katika [[kipenyo]] cha [[miaka ya nuru]] milioni 10 huitwa [[kundi la galaksi]] (ing. ''galaxy group''). Kuna pia galaksi mamia hadi maelfu kadhaa zinazoshikamana na hii huitwa [[fundo la galaksi]] (ing. ''galaxy cluster'') linaweze kuwa na kipenyo ch miaka ya nuru milioni 10 - 20.

Pitio la 10:48, 30 Mei 2018

Galaksi ya Andromeda yenye na. M 31 na galaksi mbili ndogo za kando M 32 na M 110

Galaksi (ing. galaxy) ni kundi la nyota nyingi zinazoshikamana pamoja katika anga la ulimwengu kutokana na graviti yao. Nyota hupatikana angani katika makundi kama mawingu makubwa sana.

Kuna galaksi nyingi sana ulimwenguni. Kwa wastani kila galaksi imekadiriwa kuwa na nyota kama bilioni 100 lakini kuna galaksi kubwa na ndogo.

Galaksi yetu, ikiwemo mfumo wetu wa jua, imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Sehemu ya nyota hizi zinaonekana kama kanda la kung'aa kwenye anga la usiku linalojulikana kwa rangi yake kama njia nyeupe au "njia ya maziwa"[1]. Umbo lake unafanana na kisahani kikiwa na kipenyo cha miaka ya nuru 100,000 na kikiwa na unene wa miaka ya nuru 3,000.

Galaksi iliyo karibu angani inaitwa Andromeda na ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5.

Idadi kamili ya galaksi zote angani haijulikani. Kuna makadirio ya kwamba idadi ya galaksi zinazoweza kuangaliwa kwa vyombo vinavyopatikana ni mabilioni. Hadi sasa sehemu ndogo tu imehesabiwa lakini mara kwa mara galaksi mpya zinatambuliwa kwa njia ya darubini au vyombo vya angani.

Galaksi zinazojulikana zimepewa namba katika orodha ya kimataifa na wanasayansi wa astronomia.

Galaksi kati yao hujumuika pia zikiathiriana kwa njia ya graviti yao na kuzunguka kitovu cha graviti cha pamoja. Galaksi hadi 50 zinazoshikamana katika kipenyo cha miaka ya nuru milioni 10 huitwa kundi la galaksi (ing. galaxy group). Kuna pia galaksi mamia hadi maelfu kadhaa zinazoshikamana na hii huitwa fundo la galaksi (ing. galaxy cluster) linaweze kuwa na kipenyo ch miaka ya nuru milioni 10 - 20.

Marejeo

  1. Maziwa (mfano maziwa ya ng'ombe) kwa Kigiriki huitwa "galaks" na hapo aili ya jina "galaksi".