Tofauti kati ya marekesbisho "Clube de Regatas do Flamengo"

Jump to navigation Jump to search
603 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
{{fupi}}
'''Clube de Regatas do Flamengo''' ni [[klabu]] ya [[kandanda]] yenye makao yake katika [[mji mkuu]] wa [[Rio de Janeiro]] nchini [[Brazil]].
 
Flamengo hii ilianzishwa [[tarehe]] [[1 Septemba]] [[1895]], na ni [[moja]] kati ya [[timu]] kubwa nchini Brazilbrazil yenye [[shabiki|mashabiki]] wengi, karibu [[milioni]] 39, kutokana na mafanikio ya yake.
 
Kiasili klabu ya flamengo huvaa jezi zenye rangi nyekundu na nyeusi,bukta nyeupe na soksi nyeusi. Na pia hutumia uwanja wa maracana kama uwanja wa nyumbani wenye uwezo wa kubeba karibu watu 78,800 na ni uwanja mkubwa kuliko viwanja vyote nchini brazil.
Kwa sasa flamengo inatumia uwanja wake mdogo kwa kipindi cha mpito unaoitwa Ilha Do Urubu.
 
Moja ya kitu muhimu ambacho klabu ya flamengo wanajivunia licha kuchukua makombe mengi ni moja ya timu kati ya tano ambazo hazijawahi kushuka daraja,ni pamoja na Santos, Sao Paolo , Chapecoense, Cruzeiro Na Flamengo yenyewe.
Wapinzani Wakubwa Wa Timu Ya Flamengo Ni Fluminese, Botafogo na Vasco Da Gama.
 
[[Jamii:Vilabu Mpira vya Brazil]]
Anonymous user

Urambazaji