Rufiji (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
+picha
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:SelousSandRivers.jpg|right|thumb|Mto Rufiji katika Hifadhi ya [[Selous]]]]
'''Rufiji''' ni [[mto]] mkubwa wa [[Tanzania]]. [[Chanzo (mto)|Chanzo]] kiko Tanzania ya [[kusini]]-[[magharibi]] katika maungano ya [[tawimito]] ya [[mto Kilombero]] na [[mto Luwegu]].
'''Rufiji''' ni [[mto]] mkubwa wa [[Tanzania]]. [[Chanzo (mto)|Chanzo]] kiko Tanzania ya [[kusini]]-[[magharibi]] katika maungano ya [[tawimito]] ya [[mto Kilombero]] na [[mto Luwegu]].



Pitio la 14:57, 27 Mei 2018

Mto Rufiji katika Hifadhi ya Selous

Rufiji ni mto mkubwa wa Tanzania. Chanzo kiko Tanzania ya kusini-magharibi katika maungano ya tawimito ya mto Kilombero na mto Luwegu.

Unafikia Bahari Hindi kwa njia ya delta yake takriban km 200 kusini kwa Dar es Salaam karibu na kisiwa cha Mafia. Urefu wa Rufiji ni takriban km 600.

Tawimto mkubwa katika beseni yake ni Ruaha Mkuu.

Mwaka 2005 daraja lilikamilika linalorahisisha usafiri kati ya Dar es Salaam na mikoa ya Lindi na Mtwara.

Historia

Wataalamu kadhaa huamini ya kwamba mji wa kale ulioitwa Rhapta na kutajwa katika kitabu cha Periplus ya Bahari ya Eritrea ulikuwepo kwenye Delta ya Rufiji.

Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia manowari ya Kijerumani SMS Königsberg ilizamishwa katika delta ya mto.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje