Edward VI wa Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Hii ni ni picha ya Edward VI wa England '''Edwad wa VI wa Uingereza''' alikuwa mfalme wa [...'
 
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Circle of William Scrots Edward VI of England.jpg|thumb|Hii ni ni picha ya Edward VI wa England]]
[[Picha:Circle of William Scrots Edward VI of England.jpg|thumb|Hii ni ni picha ya Edward VI wa England]]
'''Edwad wa VI wa Uingereza''' alikuwa [[mfalme]] wa [[Uingereza]] na [[Ireland]] kutoka [[tarehe 28 Januari 1547]] mpaka [[kufa]] kwake. Alipewa [[korona]] mnamo [[Februari 20]] akiwa na [[umri]] wa [[miaka saba]]. Edward alikuwa mwana[[[mtoto]]] wa [[Henry VIII]] na [[Jane Seymour]], na [[mfalme]] wa [[Uingereza]] wa [[kwanza]] kuinuliwa kama [[Kiprotestanti]].
'''Edwad wa VI wa Uingereza''' ([[12 Oktoba]] [[1537]] - [[6 Julai]] [[1553]]) alikuwa [[mfalme]] wa [[Uingereza]] na [[Ireland]] kutoka [[tarehe]] [[28 Januari]] [[1547]] mpaka [[kufa]] kwake.


Wakati wa [[utawala]] wake, [[eneo]] hilo lilikuwa chini ya [[uongozi]] wa [[Halmashauri]] ya [[Regency]] kwa sababu bado haikufikia [[idadi]] yake . [[Baraza]] liliongozwa [[kwanza]] na [[Edward Seymour]], [[Duke]] wa [[Somerset]] ([[1547-1549]]), na kisha na [[John Dudley]].
Alipewa [[taji]] mnamo [[20 Februari]] akiwa na [[umri]] wa miaka [[tisa]]. Edward alikuwa [[mtoto]] wa [[Henry VIII]] na [[Jane Seymour]], na [[mfalme]] wa [[Uingereza]] wa [[kwanza]] kulelewa kama [[Mprotestanti]].

Wakati wa [[utawala]] wake, [[eneo]] hilo lilikuwa chini ya [[uongozi]] wa [[Halmashauri]] ya [[Regency]] kwa sababu alikuwa hajafikia [[miaka]] ya kutosha. [[Baraza]] liliongozwa [[kwanza]] na [[Edward Seymour]], [[Duke]] wa [[Somerset]] ([[1547]]-[[1549]]), na kisha na [[John Dudley]].

{{mbegu-mwanasiasa}}
{{BD|1537|1553}}
[[Jamii:Wafalme na malkia wa Uingereza]]

Toleo la sasa la 13:10, 12 Mei 2018

Hii ni ni picha ya Edward VI wa England

Edwad wa VI wa Uingereza (12 Oktoba 1537 - 6 Julai 1553) alikuwa mfalme wa Uingereza na Ireland kutoka tarehe 28 Januari 1547 mpaka kufa kwake.

Alipewa taji mnamo 20 Februari akiwa na umri wa miaka tisa. Edward alikuwa mtoto wa Henry VIII na Jane Seymour, na mfalme wa Uingereza wa kwanza kulelewa kama Mprotestanti.

Wakati wa utawala wake, eneo hilo lilikuwa chini ya uongozi wa Halmashauri ya Regency kwa sababu alikuwa hajafikia miaka ya kutosha. Baraza liliongozwa kwanza na Edward Seymour, Duke wa Somerset (1547-1549), na kisha na John Dudley.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward VI wa Uingereza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.