Shajara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Shajara au diary kwa lugha ya Kingereza ni kitabu maalumu ambacho mwandishi huandika matukio ya kila siku au ya muda fulani. Shajara binafsi huenda ikawa na maw...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
Shajara au diary kwa lugha ya Kingereza ni kitabu maalumu ambacho mwandishi huandika matukio ya kila siku au ya muda fulani. Shajara binafsi huenda ikawa na mawazo ya mwandishi, yaliyompata kwa siku na pia malengo yake kwa siku zijazo. Kando na shajara binafsi, pia kuna shajara za mashirika ambazo huonyesha matukio ya shirika hilo.Wahasibu pia huwa na shajara ambayo huandika pesa walizotumia kununua vitu au zile ambazo zimeingia kwa shirika.
'''Shajara''' (kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]]: diary) ni [[kitabu]] maalumu ambacho [[mwandishi]] huandika matukio ya kila siku au ya muda fulani.
Shajara binafsi huenda ikawa na mawazo ya mwandishi, yaliyompata kwa siku na pia malengo yake kwa siku zijazo.
Kando na shajara binafsi, pia kuna shajara za mashirika ambazo huonyesha matukio ya shirika hilo.
Wahasibu pia huwa na shajara ambayo huandika pesa walizotumia kununua vitu au zile ambazo zimeingia kwa shirika.

Pitio la 14:56, 10 Mei 2018

Shajara (kwa lugha ya Kiingereza: diary) ni kitabu maalumu ambacho mwandishi huandika matukio ya kila siku au ya muda fulani.