Utakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Utakatifu''' (kutoka [[kitenzi]] "kutakata") ni ule [[usafi]] wa pekee wa [[Mungu]] mwenyewe asiye na [[mawaa]].
==Utakatifu==

Utakatifu unatokana na neno la Kiebrania [[Qadash]] likimaanisha kujitenga au kutengwa. pia Kigiriki kuna [[Hagios]] likimaanisha kutokuwa na makosa au udhaifu au [[uchafu]].
[[Neno]] la [[Kiebrania]] [[Qadosh]] linamaanisha kujitenga au kutengwa.
Hivyo '''utakatifu ni ule usafi kwa kutengwa na [[Mungu]] mwenyewe aliemsafi na asie na [[mawaa]]

Katika [[Kigiriki]] kuna neno [[Hagios]] likimaanisha kutokuwa na makosa au [[udhaifu]] au [[uchafu]].

{{mbegu-dini}}

[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Maadili]]

Pitio la 09:05, 7 Mei 2018

Utakatifu (kutoka kitenzi "kutakata") ni ule usafi wa pekee wa Mungu mwenyewe asiye na mawaa.

Neno la Kiebrania Qadosh linamaanisha kujitenga au kutengwa.

Katika Kigiriki kuna neno Hagios likimaanisha kutokuwa na makosa au udhaifu au uchafu.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.