Tofauti kati ya marekesbisho "Tafsiri"

Jump to navigation Jump to search
798 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
d
Masahihisho aliyefanya 105.51.218.206 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d (Masahihisho aliyefanya 105.51.218.206 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
Tag: Rollback
[[Picha:Rosetta Stone.JPG|thumbnail|[[Jiwe la Rosetta]] kutoka [[Misri ya Kale]] ni kati ya mifano ya kwanza ya tafsiri (ina matini ileile kwa lugha tatu).]]
HUNA MBELE WALA NYUMA
'''Tafsiri''' ni [[kazi]] ya kutoa maana ya [[maneno]] kutoka lugha moja kwenda [[lugha]] nyingine.
 
Mtu anayefanya kazi hii huitwa [[mfasiri]] au [[mkalimani]].
 
Hakuna tafsiri kamili kabisa. Kila mfasiri hana budi kuchagua.
* Akikaa karibu zaidi kwa matini ya lugha ya asili, tafsiri yake inaweza kukosa [[uzuri]] katika lugha ya kutafsiriwa. Pia anaweza kukosa maana ya maneno ya asili hasa kama yalitumia [[methali]] au [[lugha ya mifano]] na [[lugha ya picha]].
* Akielekea kutoa maana ya maneno asilia kwa [[umbo]] zuri katika lugha ya kutafsiriwa kuna [[hatari]] ya kwenda mbali kiasi na yale yaliyosemwa awali na kuingiza [[rai]] za mfasiri mwenyewe.
 
==Viungo vya nje==

Urambazaji