Tikisa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 17: Mstari 17:
* ''[[Motacilla]]'' <small>[[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758</small>
* ''[[Motacilla]]'' <small>[[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758</small>
}}
}}
'''Matikisa''' au '''vibikula''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Motacilla]]'', ''[[Amourocichla|Amaurocichla]]'' na ''[[Dendronanthus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Motacillidae]]. Wana mkia mrefu ambao wanautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na [[spishi]] kadhaa zina rangi nzuri. Hukamata [[mdudu|wadudu]] ardhini na hutaga [[yai|mayai]] 4-8 ndani ya kikombe cha [[nyasi|manyasi]] ardhini.
'''Matikisa''' au '''vibikula''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wa [[jenasi]] ''[[Motacilla]]'', ''[[Amaurocichla]]'' na ''[[Dendronanthus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Motacillidae]]. Wana mkia mrefu ambao wanautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na [[spishi]] kadhaa zina rangi nzuri. Hukamata [[mdudu|wadudu]] ardhini na hutaga [[yai|mayai]] 4-8 ndani ya kikombe cha [[nyasi|manyasi]] ardhini.


== Spishi za Afrika ==
== Spishi za Afrika ==

Pitio la 20:40, 30 Aprili 2018

Tikisa
Tikisa-majumba (Motacilla aguimp)
Tikisa-majumba
(Motacilla aguimp)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea
Familia: Motacillidae (Ndege walio na mnasaba na matikisa)
Horsfield, 1821
Ngazi za chini

Jenasi 3:

Matikisa au vibikula ni ndege wa jenasi Motacilla, Amaurocichla na Dendronanthus katika familia ya Motacillidae. Wana mkia mrefu ambao wanautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na spishi kadhaa zina rangi nzuri. Hukamata wadudu ardhini na hutaga mayai 4-8 ndani ya kikombe cha manyasi ardhini.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha