Maabara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 6: Mstari 6:
Kuna aina mbalimbali za maabara, mfano: maabara za [[biolojia]], maabara za [[kemia]], maabara za [[fizikia]] n.k.
Kuna aina mbalimbali za maabara, mfano: maabara za [[biolojia]], maabara za [[kemia]], maabara za [[fizikia]] n.k.


Vilevile kuna maabara zinazotumika katika [[hospitali]] na katika majaribio mengine ya kisayansi.
Vilevile kuna maabara zinazotumika katika [[hospitali]] na katika majaribio mengine ya kisayansi. Kwa mfano, maabara ya biolojia ni jengo au chumba maalumu kwa ajili ya kufanyia majaribio yahusuyo [[viumbe hai]].

===Maabara ya biolojia===
Ni jengo au chumba maalumu kwa ajili ya kufanyia majaribio ya kibiolojia yahusuyo [[viumbe hai]].


== Historia ==
== Historia ==
Maabara za zamani katika nchi za Uingereza zilikuwa za kutengenezea dawa. Vita ya pili vya dunia vilifanya maabara yawe makubwa kwa minajili ya kutengenezea zana za vita za kiatomiki.
Maabara za zamani katika nchi ya [[Uingereza]] zilikuwa za kutengenezea [[dawa]]. [[Vita vya pili vya dunia]] vilifanya maabara ziwe kubwa kwa minajili ya kutengenezea [[zana za vita]] za [[Bomu la nyuklia|kiatomiki]].


Kwa leo maabara bado yanatumika kwa madhumuni ya kutengenezea na kujaribu dawa, kuunda zana za vita na pia katika mashule.
Leo maabara bado zinatumika kwa madhumuni ya kutengenezea na kujaribu dawa, kuunda zana za vita na pia kufundisha katika [[shule]].


==Sheria za maabara==
==Sheria za maabara==

Toleo la sasa la 10:48, 27 Aprili 2018

Maabara ya uganga wa kansa huko Taiwan.
Maabara ya biolojia ya molekuli huko Poznan, Poland.
Benchi katika maabara ya kemia.

Maabara (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: Laboratory) ni jengo au chumba maalumu kinachotumika kwa ajili ya majaribio na utafiti wa kisayansi.

Kuna aina mbalimbali za maabara, mfano: maabara za biolojia, maabara za kemia, maabara za fizikia n.k.

Vilevile kuna maabara zinazotumika katika hospitali na katika majaribio mengine ya kisayansi. Kwa mfano, maabara ya biolojia ni jengo au chumba maalumu kwa ajili ya kufanyia majaribio yahusuyo viumbe hai.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Maabara za zamani katika nchi ya Uingereza zilikuwa za kutengenezea dawa. Vita vya pili vya dunia vilifanya maabara ziwe kubwa kwa minajili ya kutengenezea zana za vita za kiatomiki.

Leo maabara bado zinatumika kwa madhumuni ya kutengenezea na kujaribu dawa, kuunda zana za vita na pia kufundisha katika shule.

Sheria za maabara[hariri | hariri chanzo]

  • 1. Usiingie ndani ya maabara mpaka uruhusiwe.
  • 2. Usikimbie ndani ya maabara.
  • 3. Usile kitu chochote ndani ya maabara.
  • 4. Usitumie kifaa kilichoharibika.
  • 5. Ripoti tatizo lolote litakalojitokeza.
  • 6. Usifanye kitu chochote bila ruhusa
  • 7. Osha mikono baada ya kumaliza kufanya majaribio au utafiti

Sifa za maabara[hariri | hariri chanzo]

  • 1. Iwe na madirisha makubwa.
  • 2. Iwe na milango miwili inayofunguka kwa nje.
  • 3. Iwe na mfumo mzuri wa umeme.
  • 4. Iwe na vifaa vya kutosha.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maabara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.