Majadiliano ya mtumiaji:Hreflafa : Tofauti kati ya masahihisho

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 9: Mstari 9:


==Kuhusu maabara na kuchunguza mada==
==Kuhusu maabara na kuchunguza mada==
Ukichangia ni muhimu kufanya uchunguzi kwanza. Siku hizi ni afadhali kuongeza pia ushahidi (ingawa idadi kubwa ya makala bado hakuna). Katika mfano wa [[maabara]] ukifanya utafiti kidogo utaona ya kwamba hakuna sababu kuanza na historia ya maabara katika Uingereza, pale si asili ya vitu hivi. Pia hapakuwa na mabadiliko makubwa ya maabara wakati wa vita kuu ya pili. Na Uingereza si muhimu kwa historia ya teknolojia ya kinyuklia.
Ukichangia ni muhimu kufanya uchunguzi kwanza. Siku hizi ni afadhali kuongeza pia ushahidi (ingawa idadi kubwa ya makala bado hakuna). Katika mfano wa [[maabara]] ulijaribu kutafsiri matini kutoka enwiki. Kwa bahati mbaya matini hii si nzuri sana na hivyo umechanganya mambo kidogo. Wakieleza matumizi ya neno "laboratory" katika lugha ya '''Kiingereza''' wewe uliona hii inahusu historia ya maabara katika nchi ya '''Uingereza'''. Ukifanya utafiti kidogo utaelewa ni nini maana ya neno hili "alchemy" wanayotumia (alkemia - makala hii hatujaanza bado). Kwa utafiti kidogo ungeelewa pia maana ya "Big Science". Kwa hiyo si vema kutafsiri matini kutoka enwiki bila kuchungulia na kuelewa vema. Jinsi ilivyo historia hii sasa inatupe picha ya kwamba maabara yalibadilika hasa kwa ajili ya kuunda "zana za vita za kiatomiki" tena katika Uingereza na hii yote si sahihi.


Usikate tamaa kama nyongeza hizi hazibaki, ni kawaida hii ni njia jinsi gani wikipedia inakua na kuboreshwa. Lakini fanya utafiti. Sisi tuko tayari kukushauri namna gani. Uliza tu usiogope. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 09:04, 26 Aprili 2018 (UTC)
Usikate tamaa kama nyongeza hizi hazibaki, ni kawaida hii ni njia jinsi gani wikipedia inakua na kuboreshwa. Lakini fanya utafiti. Sisi tuko tayari kukushauri namna gani. Uliza tu usiogope. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 09:04, 26 Aprili 2018 (UTC)

Pitio la 09:34, 26 Aprili 2018

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Kipala (majadiliano) 10:29, 14 Novemba 2017 (UTC)[jibu]

Halafu naomba ukumbuke kupanga makala katika jamii na kuiunganisha na lugha nyingine (interwiki). Kipala (majadiliano) 10:29, 14 Novemba 2017 (UTC)[jibu]

Nimeona mara nyingi anaandika makala kweli bila jamii. Lakini tumpe muda atazoea. Akiwa na tabia ya kupitia makala alizoanzisha, itamsaidia kuona wapi alipotoka!--MwanaharakatiLonga 09:31, 7 Desemba 2017 (UTC)[jibu]

Mawasiliano

Hreflafa tunafurahi ya kwamba umejiunga na wikipedia hii na kuchangia. Lakini naona pia ya kamba hujaanza kuwasiliana na kujibu ukipata habari. Hii si vizuri, msingi mmoja muhimu wa kazi yetu ni kuwasiliana na kushauriana. Jinsi unavyokaa kimyakimya hatuwezi kujua kama labda hujaelewa utaratibu, unaogopa kujibu au unapuuza ushauri. Kwa hiyo sisi wengine tuko hapa kwa lengo la kukusaidia. Hapo chini naongeza jambo niliyoona katika makala yako ya maabara. Kipala (majadiliano) 08:37, 26 Aprili 2018 (UTC)[jibu]

Kuhusu maabara na kuchunguza mada

Ukichangia ni muhimu kufanya uchunguzi kwanza. Siku hizi ni afadhali kuongeza pia ushahidi (ingawa idadi kubwa ya makala bado hakuna). Katika mfano wa maabara ulijaribu kutafsiri matini kutoka enwiki. Kwa bahati mbaya matini hii si nzuri sana na hivyo umechanganya mambo kidogo. Wakieleza matumizi ya neno "laboratory" katika lugha ya Kiingereza wewe uliona hii inahusu historia ya maabara katika nchi ya Uingereza. Ukifanya utafiti kidogo utaelewa ni nini maana ya neno hili "alchemy" wanayotumia (alkemia - makala hii hatujaanza bado). Kwa utafiti kidogo ungeelewa pia maana ya "Big Science". Kwa hiyo si vema kutafsiri matini kutoka enwiki bila kuchungulia na kuelewa vema. Jinsi ilivyo historia hii sasa inatupe picha ya kwamba maabara yalibadilika hasa kwa ajili ya kuunda "zana za vita za kiatomiki" tena katika Uingereza na hii yote si sahihi.

Usikate tamaa kama nyongeza hizi hazibaki, ni kawaida hii ni njia jinsi gani wikipedia inakua na kuboreshwa. Lakini fanya utafiti. Sisi tuko tayari kukushauri namna gani. Uliza tu usiogope. Kipala (majadiliano) 09:04, 26 Aprili 2018 (UTC)[jibu]