Maabara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
[[File:Laboratorium-biologia-molekularna.jpg|thumb|right|Maabara ya biolojia ya [[molekuli]] huko [[Poznan]], [[Poland]].]]
[[File:Laboratorium-biologia-molekularna.jpg|thumb|right|Maabara ya biolojia ya [[molekuli]] huko [[Poznan]], [[Poland]].]]
[[File:Chemistry Laboratory - Bench.jpg|thumb|right|[[Benchi]] katika maabara ya kemia.]]
[[File:Chemistry Laboratory - Bench.jpg|thumb|right|[[Benchi]] katika maabara ya kemia.]]
'''Maabara''' ni [[jengo]] au [[chumba]] maalumu kinachotumika kwa ajili ya [[majaribio]] ya ki[[sayansi]].
'''Maabara''' ni [[jengo]] au [[chumba]] maalumu kinachotumika kwa ajili ya [[majaribio]] na utafiti wa [[sayansi|kisayansi]].


Kuna aina mbalimbali za maabara, mfano: maabara za [[biolojia]], maabara za [[kemia]], maabara za [[fizikia]] n.k.
Kuna aina mbalimbali za maabara, mfano: maabara za [[biolojia]], maabara za [[kemia]], maabara za [[fizikia]] n.k.

Pitio la 09:16, 26 Aprili 2018

Maabara ya uganga wa kansa huko Taiwan.
Maabara ya biolojia ya molekuli huko Poznan, Poland.
Benchi katika maabara ya kemia.

Maabara ni jengo au chumba maalumu kinachotumika kwa ajili ya majaribio na utafiti wa kisayansi.

Kuna aina mbalimbali za maabara, mfano: maabara za biolojia, maabara za kemia, maabara za fizikia n.k.

Vilevile kuna maabara zinazotumika katika hospitali na katika majaribio mengine ya kisayansi.

Maabara ya biolojia

Ni jengo au chumba maalumu kwa ajili ya kufanyia majaribio ya kibiolojia yahusuyo viumbe hai.

Historia

Maabara za zamani katika nchi za Uingereza zilikuwa za kutengenezea dawa. Vita ya pili vya dunia vilifanya maabara yawe makubwa kwa minajili ya kutengenezea zana za vita za kiatomiki.

Kwa leo maabara bado yanatumika kwa madhumuni ya kutengenezea na kujaribu dawa, kuunda zana za vita na pia katika mashule.

Sheria za maabara

  • 1. Usiingie ndani ya maabara mpaka uruhusiwe.
  • 2. Usikimbie ndani ya maabara.
  • 3. Usile kitu chochote ndani ya maabara.
  • 4. Usitumie kifaa kilichoharibika.
  • 5. Ripoti tatizo lolote litakalojitokeza.
  • 6. Usifanye kitu chochote bila ruhusa
  • 7. Osha mikono baada ya kumaliza kufanya majaribio au utafiti

Sifa za maabara

  • 1. Iwe na madirisha makubwa.
  • 2. Iwe na milango miwili inayofunguka kwa nje.
  • 3. Iwe na mfumo mzuri wa umeme.
  • 4. Iwe na vifaa vya kutosha.

Viungo vya Nje

Laboratory

Custom Writing

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maabara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.