Sumeri : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Sales contract Shuruppak Louvre AO3760.jpg|thumb|300px|[[Hati]] ya [[Kisumeri]] inayoonyesha [[mapatano]] ya kuuza [[nyumba]] na [[shamba]]. Maandishi ni [[mwandiko wa kikabari]].]]
[[Picha:Sales contract Shuruppak Louvre AO3760.jpg|thumb|300px|[[Hati]] ya [[Kisumeri]] inayoonyesha [[mapatano]] ya kuuza [[nyumba]] na [[shamba]]. Maandishi ni [[mwandiko wa kikabari]].]]
'''Sumeri''' ilikuwa kati ya tamaduni za kwanza za juu katika [[Asia ya Magharibi]] na hasa [[Mesopotamia]] ([[Iraq]] ya leo). Labda ilikuwa [[utamaduni]] wa kwanza wa kujenga miji.
'''Sumeri''' ilikuwa kati ya [[tamaduni]] za juu za kwanza katika [[Asia ya Magharibi]] na hasa [[Mesopotamia]] ([[Iraq]] ya leo). Labda ilikuwa [[utamaduni]] wa kwanza wa kujenga [[miji]].


Sumeri ilianzishwa na kuendelea kwenye nchi yenye [[rutuba]] kati ya mito [[Frati]] na [[Hidekeli]] tangu mwaka [[3500 KK]]. [[Elimu]] ya [[akiolojia]] iliweza kuthibitisha ya kwamba Wasumeri walijenga miji na kuendeleza [[maandishi]].
Sumeri ilianzishwa na kuendelea kwenye nchi yenye [[rutuba]] kati ya [[mito]] [[Frati]] na [[Hidekeli]] tangu mwaka [[3500 KK]]. [[Elimu]] ya [[akiolojia]] imeweza kuthibitisha ya kwamba [[Wasumeri]] walijenga miji na kuendeleza [[maandishi]].


Maandishi yao yamehifadhiwa kwa sababu waliandika mengi kwa kutumia [[mwandiko wa kikabari]] kwenye [[vigae vya mwandiko wa kikabari]] yaani vipande vya [[udongo]] mbichi wa [[ufinyanzi]] na kuvichoma.
Maandishi yao yamehifadhiwa kwa sababu waliandika mengi kwa kutumia [[mwandiko wa kikabari]] kwenye [[vigae vya mwandiko wa kikabari]], yaani vipande vya [[udongo]] mbichi wa [[ufinyanzi]] na kuvichoma.


Imetambuliwa pia ya kwamba waliweka misingi muhimu kwa [[kalenda]] za leo kwa kugawa [[siku]] katika [[saa]] 24 na [[saa]] katika [[dakika]] 60.pia waliweka kumbukumbu ya mifugo na mazao katika maandishi.
Imetambuliwa pia ya kwamba waliweka misingi muhimu ya [[kalenda]] za leo kwa kugawa [[siku]] katika [[saa]] 24 na [[saa]] katika [[dakika]] 60. Pia waliweka [[kumbukumbu]] ya [[mifugo]] na [[mazao]] katika maandishi.


Wasumeri waliishi katika [[dola-mji|dola-miji]] iliyotawaliwa na [[mfalme|wafalme]] au ma[[kuhani]].
Wasumeri waliishi katika [[dola-mji|dola-miji]] iliyotawaliwa na [[mfalme|wafalme]] au ma[[kuhani]].


{{mbegu-historia}}
{{mbegu-historia}}
<!-- interwiki -->


[[Jamii:Mesopotamia]]
[[Jamii:Mesopotamia]]

Pitio la 10:40, 16 Aprili 2018

Hati ya Kisumeri inayoonyesha mapatano ya kuuza nyumba na shamba. Maandishi ni mwandiko wa kikabari.

Sumeri ilikuwa kati ya tamaduni za juu za kwanza katika Asia ya Magharibi na hasa Mesopotamia (Iraq ya leo). Labda ilikuwa utamaduni wa kwanza wa kujenga miji.

Sumeri ilianzishwa na kuendelea kwenye nchi yenye rutuba kati ya mito Frati na Hidekeli tangu mwaka 3500 KK. Elimu ya akiolojia imeweza kuthibitisha ya kwamba Wasumeri walijenga miji na kuendeleza maandishi.

Maandishi yao yamehifadhiwa kwa sababu waliandika mengi kwa kutumia mwandiko wa kikabari kwenye vigae vya mwandiko wa kikabari, yaani vipande vya udongo mbichi wa ufinyanzi na kuvichoma.

Imetambuliwa pia ya kwamba waliweka misingi muhimu ya kalenda za leo kwa kugawa siku katika saa 24 na saa katika dakika 60. Pia waliweka kumbukumbu ya mifugo na mazao katika maandishi.

Wasumeri waliishi katika dola-miji iliyotawaliwa na wafalme au makuhani.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sumeri kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.