Tofauti kati ya marekesbisho "Afro-Shirazi Party"

Jump to navigation Jump to search
1,060 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 10 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q388064 (translate me))
No edit summary
'''Afro-Shirazi Party''' (kifupisho: ASP) ilikuwa chama cha siasa kisiwani kwacha [[Zanzibar]]. Ilianzishwa wakatimwaka vyama1957 viwilikwa vingine,maungano yaanikati ''Shirazya Party''Shirika yala [[Waajemi]] Washirazi (Shirazi Association) na ''AfroShirika Party'' yala Waafrika, vilipoungana(African Association). UanzishajiShirika wala chamaShirazi hilo(lililoanzishwa ukasababisha1939) uondoajililikuwa maungano wa [[Waarabu]]Waafrika kutoka utawalawazalendo wa ZanzibarUnguja katikana Pemba, Shirika la Waafrika (lililoanzishwa 1934) mapinduzimaungano ya mwakaWaafrika wawenye [[1964]].asili ya bara, pamoja na Mwakaasili kati ya familia za watumwa wa [[1977]],awali ASPkutoka ilijiungabara na [[TANU]]wafanyakazi kuwawaliokuwa [[Chamawalihamia chakatika Mapinduzi]]karne ya 20.
 
Chama kilikuwa na wafuasi wengi kisiwani Unguja, ilhali sehemu ya Washirazi wa Pemba walipigia kura vyama vingine.
 
Katika uchaguzi kabla ya uhuru mwaka 1963 ASP ilipata asilimia 54.2 za kura lakini kutokana na mfumo wa uchaguzi haikupata wabunge wengi hivyo serikali ya kwanza baada ya ukoloni ilianzishwa na vyama vya ZNP na ZPFP.
 
Katika Januari wa 1964 kikundi cha wana ASP wenye silaha kilichoongozwa na John Okella ilipindua serikali ya [[Sultani wa Zanzibar]] pamoja na kuua wakazi wengi Waarabu na Wahindi na kuunda serikali ya kimapinduzi chini ya urais wa [[Abeid Karume]].
 
Mwaka wa [[1977]], ASP ilijiunga na [[TANU]] kuwa [[Chama cha Mapinduzi]].
 
==Marejeo==
* Mohammed Ali Bakari, The Democratisation Process in Zanzibar: A Retarded Transition, Hamburg ; Institut fur Afrika-Kunde , 2001.
(Hamburg African Studies ; ISBN 3-928049-71-2; ISSN 0947-4900 ([https://archive.org/download/bub_gb_9yCSamtUeiAC/bub_gb_9yCSamtUeiAC.pdf online hapa])
 
{{mbegu-siasa}}

Urambazaji