Wandengereko : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 11: Mstari 11:
[[Jamii:Wilaya ya Mkuranga]]
[[Jamii:Wilaya ya Mkuranga]]
[[Jamii:Wilaya ya Kibiti]]
[[Jamii:Wilaya ya Kibiti]]
kabila la wandengereko wapo karibu 700000 .wandengereko ni ndugu wa damu na wamatumbi tofauti yao ni mmoja a naishi bondeni mmoja milimani ndo mmatumbi maana ya itumbi ni mlima walikuwa wanaitwa na wenzao wa bondeni ambao ni wandengereko.
wandengereko wapo wa bondeni ambao wanaitwa wa rufiji maana wamepitiwa na mto rufiji na wa magongo yani waliopo juuu

Pitio la 11:36, 7 Aprili 2018

Wandengereko ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi kusini kwa Dar es Salaam katika Mkoa wa Pwani: Wilaya ya Rufiji, Wilaya ya Mkuranga na Wilaya ya Kibiti.

Lugha yao ni Kindengereko.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wandengereko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

kabila la wandengereko wapo karibu 700000 .wandengereko ni ndugu wa damu na wamatumbi tofauti yao ni mmoja a naishi bondeni mmoja milimani ndo mmatumbi maana ya itumbi ni mlima walikuwa wanaitwa na wenzao wa bondeni ambao ni wandengereko. wandengereko wapo wa bondeni ambao wanaitwa wa rufiji maana wamepitiwa na mto rufiji na wa magongo yani waliopo juuu