Sukulenti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Tafsiri ya Aloe vera
d Mabadiliko madogo machache
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Split Aloe.jpg|300px|thumbnail|Jani la [[mshubirimani]] lililokatwa; utomvu unatoka nje]]
[[Picha:Split Aloe.jpg|300px|thumbnail|Jani la [[mshubirimani]] lililokatwa; utomvu unatoka nje|link=https://sw.wikipedia.org/wiki/Picha:Split_Aloe.jpg]]'''Sukulenti''' ([[lat.]] ''sucus'' = utomvu; [[ing.]] ''succulents'') au '''Mimea yenye utomvu mwingi''' ni [[mimea]] iliyojitohoa kwa maisha katika mazingira [[Tabianchi#B: Tabianchi yabisi au nusuyabisi|yabisi]].
'''Sukulenti''' ([[lat.]] ''sucus'' = utomvu; [[ing.]] ''succulents'') au '''Mimea wenye utomvu mwingi''' ni [[mimea]] iliyojitohoa kwa maisha katika mazingira [[Tabianchi#B:_Tabianchi_yabisi_au_nusuyabisi|yabisi]].


Mimea hii ya [[Familia (biolojia)|familia]] na [[jenasi]] tofauti ina uwezo wa kutunza maji ndani ya [[jani|majani]] au [[shina|mashina]] yao. Kwa hiyo mara nyingi ama majani au shina ni nono kutokana na uwingi wa [[utomvu]] ndani yao.
Mimea hii ya [[Familia (biolojia)|familia]] na [[jenasi]] tofauti ina uwezo wa kutunza maji ndani ya [[Jani|majani]] au [[Shina|mashina]] yao. Kwa hiyo mara nyingi ama majani au shina ni nono kutokana na uwingi wa [[utomvu]] ndani yao.


Kwa hiyo "sukulenti" si jina la spishi au familia maalumu ya mimea lakini inataja umbo la mmea unaotkuwa tofauti kutokana na mazingira. Mimea ya aina (jenasi) moja inaweza kupatikana kwa majani nono yenye utomvu mwingi au kwa majani ya kawaida yakikua katika mazingira tofauti.
Kwa hiyo "sukulenti" si jina la spishi au familia maalumu ya mimea lakini neno hili inataja tu umbo la mimea ya aina mbalimbali iliyo imekuwa tofauti kutokana na mazingira yake. [[Jenasi]] moja ya mimea inaweza kutia ndani aina zenye majani nono yenye utomvu mwingi na pia aina nyingine zenye majani ya kawaida zinazomea katika mazingira tofauti.


Pia kuna tofauti kati ya watalaamu eti ni nini inayostahili kuitwa sukulenti. Wengi wanaangalia majani na mashina pekee lakini kuna wengine wanaoingiza mle pia mizizi inayotunza maji lakini wengine hawakubali.
Pia kuna tofauti kati ya watalaamu eti ni nini inayostahili kuitwa sukulenti. Wengi wanaangalia majani na mashina pekee lakini kuna wengine wanaoingiza mle pia mizizi inayotunza maji lakini wengine hawakubali.

Pitio la 23:34, 4 Aprili 2018

Jani la mshubirimani lililokatwa; utomvu unatoka nje

Sukulenti (lat. sucus = utomvu; ing. succulents) au Mimea yenye utomvu mwingi ni mimea iliyojitohoa kwa maisha katika mazingira yabisi.

Mimea hii ya familia na jenasi tofauti ina uwezo wa kutunza maji ndani ya majani au mashina yao. Kwa hiyo mara nyingi ama majani au shina ni nono kutokana na uwingi wa utomvu ndani yao.

Kwa hiyo "sukulenti" si jina la spishi au familia maalumu ya mimea lakini neno hili inataja tu umbo la mimea ya aina mbalimbali iliyo imekuwa tofauti kutokana na mazingira yake. Jenasi moja ya mimea inaweza kutia ndani aina zenye majani nono yenye utomvu mwingi na pia aina nyingine zenye majani ya kawaida zinazomea katika mazingira tofauti.

Pia kuna tofauti kati ya watalaamu eti ni nini inayostahili kuitwa sukulenti. Wengi wanaangalia majani na mashina pekee lakini kuna wengine wanaoingiza mle pia mizizi inayotunza maji lakini wengine hawakubali.

Mifano ya sukulenti iliyokubalika na pande zote ni mbuyu, mkonge, mshubirimani na aina za mpungate.