Masokwe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 18: Mstari 18:
* [[Hylobatidae]] (Masokwe wadogo)
* [[Hylobatidae]] (Masokwe wadogo)
}}
}}
'''Masokwe''' au '''sokwe''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[familia ya juu]] [[Hominoidea]]. Kuna [[familia (biolojia)|familia]] mbili za masokwe: [[Hylobatidae]] ([[sokwe mdogo|masokwe wadogo]] au [[giboni]]) na [[Hominidae]] ([[sokwe mkubwa|masokwe wakubwa]] na [[binadamu]]). Masokwe wadogo huishi daima mitini na huteremka kwa nadra. Wana mikono mirefu ili kining'inia kutoka tawi moja hadi jingine na kutoka mti mmoja hadi mwingine. Wanatokea [[msitu|misitu]] ya [[tropiki]] ya [[Asia]]. Masokwe wakubwa hupitisha muda pengine mrefu ardhini, [[orangutanu]] muda kidogo tu na [[ngagi]] muda mrefu sana. Takriban [[spishi]] zote zinatokea [[Afrika]] lakini orangutanu wanatokea [[Asia]] ya Mashariki.
'''Masokwe''' au '''sokwe''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[familia ya juu]] [[Hominoidea]]. Kuna [[familia (biolojia)|familia]] mbili za masokwe: [[Hylobatidae]] ([[sokwe mdogo|masokwe wadogo]] au [[giboni]]) na [[Hominidae]] ([[sokwe mkubwa|masokwe wakubwa]] wanaotia ndani [[binadamu]]). Masokwe wadogo huishi daima mitini na huteremka kwa nadra. Wana mikono mirefu ili kining'inia kutoka tawi moja hadi jingine na kutoka mti mmoja hadi mwingine. Wanatokea [[msitu|misitu]] ya [[tropiki]] ya [[Asia]]. Masokwe wakubwa hupitisha muda pengine mrefu ardhini, [[orangutanu]] muda kidogo tu na [[ngagi]] muda mrefu sana. Takriban [[spishi]] zote zinatokea [[Afrika]] lakini orangutanu wanatokea [[Asia]] ya Mashariki.


== Mwainisho ==
== Mwainisho ==

Pitio la 10:37, 2 Aprili 2018

Sokwe
Sokwe Mtu
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda: Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
Oda ya chini: Simiiformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu: Hominoidea (Masokwe))
Ngazi za chini

Familia 2:

Masokwe au sokwe ni wanyama wa familia ya juu Hominoidea. Kuna familia mbili za masokwe: Hylobatidae (masokwe wadogo au giboni) na Hominidae (masokwe wakubwa wanaotia ndani binadamu). Masokwe wadogo huishi daima mitini na huteremka kwa nadra. Wana mikono mirefu ili kining'inia kutoka tawi moja hadi jingine na kutoka mti mmoja hadi mwingine. Wanatokea misitu ya tropiki ya Asia. Masokwe wakubwa hupitisha muda pengine mrefu ardhini, orangutanu muda kidogo tu na ngagi muda mrefu sana. Takriban spishi zote zinatokea Afrika lakini orangutanu wanatokea Asia ya Mashariki.

Mwainisho

Familia ya juu Hominoidea (Masokwe)

Picha

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.