Luteni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Luteni (Tanzania Army OF-01A).png|200px|thumb|Alama kwenye sare ya luteni katika jeshi la Tanzania]]
'''Luteni''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Lieutenant''), pia '''Luteni wa Kwanza''', ni cheo cha [[afisa]] wa [[jeshi]] kilicho chini ya [[Kapteni]] na juu ya [[Luteni wa Pili]].
'''Luteni''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Lieutenant''), pia '''Luteni wa Kwanza''', ni cheo cha [[afisa]] wa [[jeshi]] kilicho chini ya [[Kapteni]] na juu ya [[Luteni wa Pili]].



Pitio la 22:45, 22 Machi 2018

Alama kwenye sare ya luteni katika jeshi la Tanzania

Luteni (kwa Kiingereza: Lieutenant), pia Luteni wa Kwanza, ni cheo cha afisa wa jeshi kilicho chini ya Kapteni na juu ya Luteni wa Pili.

Asili ya neno ni Kifaransa "lieu-tenant" (mwenye kushika nafasi) kwa maana ya naibu, makamu. Kiasili lieu-tenant alikuwa makamu wa kapteni yaani mkuu wa kikosi aliyeshika mamlaka yake wakati hayuko. Maana hii ni pia asili ya vyeo vya Luteni Kanali au Luteni Jenerali vilivyotaja manaibu wa kanali au jenerali. Baadaye ziliendelea kuwa vyeo vya pekee bila kuunganishwa na nafasi ya makamu tena.

Majeshi ya Afrika yalirithi cheo hiki sawa na vyeo vya kijeshi kwa jumla kutoka mapokeo ya jeshi la kikoloni.