Wizara : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
sarufi |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
'''Wizara''' ni sehemu ya |
'''Wizara''' ni sehemu ya [[serikali]] inayoshughulikia sehemu maalumu ya utawala wa nchi ikiongozwa na [[waziri]].<ref>"[https://sw.oxforddictionaries.com/ufafanuzi/wizara Wizara]", Kamusi ya Oxford</ref>. Kila nchi ina idadi na majina tofauti ya wizara zake. |
||
== Mifano == |
== Mifano == |
Pitio la 13:38, 21 Machi 2018
Wizara ni sehemu ya serikali inayoshughulikia sehemu maalumu ya utawala wa nchi ikiongozwa na waziri.[1]. Kila nchi ina idadi na majina tofauti ya wizara zake.
Mifano
Kenya
Wizara huwa na idara tofauti ambazo huongozwa na katibu mkuu. Wizara ya Ulinzi na ya Mambo ya Ndani na Uratibu wa Kitaifa ziko chini ya Ofisi ya Rais wa Kenya[2].
Tanbihi
- ↑ "Wizara", Kamusi ya Oxford
- ↑ "Uhuru unveils govt structure of 18 ministries", Huduma ya Utangazaji wa Urais, ilipatikana 21-03-2018