Kiwango utatu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 50 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q106410 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kiwango utatu''' ni kiwango cha maji au dutu nyingine inapoweza kuwa mahali pamoja katika hali imara, kiowevu na gesi (kwa mfano wa maji: barafu, majimaji na mvuke). Kiwango hiki kinategemea halijoto na shindikizo.
'''Kiwango utatu''' ni kiwango cha [[maji]] au dutu nyingine inapoweza kutokea mahali pamoja katika hali [[mango], [[kiowevu]] na [[gesi]] (kwa mfano wa maji: [[barafu]], [[majimaji]] na [[mvuke]]). Kiwango hiki kinategemea [[halijoto]] na [[shindikizo]].


Kiwango utatu cha maji ni kiwango cha kukadiria skeli ya [[selsiasi]] au sentigredi (273.16 [[K]] au 0.01 [[°C]]).
Kiwango utatu cha maji ni kiwango cha kukadiria skeli ya [[selsiasi]] au sentigredi (273.16 [[K]] au 0.01 [[°C]]).

Pitio la 17:43, 12 Machi 2018

Kiwango utatu ni kiwango cha maji au dutu nyingine inapoweza kutokea mahali pamoja katika hali [[mango], kiowevu na gesi (kwa mfano wa maji: barafu, majimaji na mvuke). Kiwango hiki kinategemea halijoto na shindikizo.

Kiwango utatu cha maji ni kiwango cha kukadiria skeli ya selsiasi au sentigredi (273.16 K au 0.01 °C).


Wikimedia Commons ina media kuhusu: