Mlima Meru : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Mount Meru, 2012.jpg|thumb|Mlima Meru, 2012]]
[[File:Mount Meru, 2012.jpg|thumb|Mlima Meru, [[mwaka]] [[2012]].]]
[[picha:mount_meru_sat_photo.jpg|right|thumb|Mlima Meru kutoka juu]]
[[picha:mount_meru_sat_photo.jpg|right|thumb|Mlima Meru kutoka juu.]]
'''Mlima Meru''' ni mlima wa volkeno na una urefu wa mita 4565 (futi 15064) kutoka usawa wa bahari. Mlima huu ni wa tano kwa urefu katika bara la Afrika.
'''Mlima Meru''' ni [[mlima]] wa [[volkeno]] wenye [[urefu]] wa [[mita]] 4565 ([[futi]] 15064) [[juu ya usawa wa bahari]]. Mlima huo ni wa [[tano]] kwa urefu katika [[bara]] la [[Afrika]].


Mlima Meru unapatikana ndani ya [[Hifadhi ya Arusha]] ambayo ilianzishwa mwaka 1960 ambapo wanyama pori kuzunguka [[Maziwa ya Momella]] na Volcano ya Ngurudoto (''Ngurudoto crater'') walihifadhiwa na kulinwa katika eneo hili.
Mlima Meru unapatikana ndani ya [[Hifadhi ya Arusha]] ambayo ilianzishwa mwaka [[1960]] na ambapo [[wanyamapori]] kuzunguka [[Maziwa ya Momella]] na volkeno ya [[Ngurudoto]] (''Ngurudoto crater'') walihifadhiwa na kulindwa katika eneo hili.


Hifadhi hii ina ukubwa wa kilometa za mraba 137 na ipo umbali wa kilometa 35 kutoka katika mji wa kitalii wa [[Arusha]] na [[Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro]].[[picha:Meru Ashcone.jpg|left|thumb|250px|Kilele cha Mlima Meru]]
Hifadhi hiyo ina ukubwa wa [[kilometa za mraba]] 137 na ipo [[umbali]] wa [[kilometa]] 35 kutoka [[mji]] wa [[Utalii|kitalii]] wa [[Arusha]] na [[Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro]].
[[picha:Meru Ashcone.jpg|left|thumb|250px|[[Kilele]] cha Mlima Meru.]]
Vivutio katika hifadhi hii vinajumuisha [[volkeno]], maziwa, [[misitu]] na wanyama pori kama twiga, tembo, pundamilia, nyati na wengine wengi. Pia kuna ndege wa aina nyingi wakiwemo ''flamingo'', pia misitu katika mlima Meru ni makazi ya nyani.
[[Vivutio vya Tanzania|Vivutio]] katika hifadhi hiyo vinajumuisha [[volkeno]], [[maziwa]], [[misitu]] na wanyamapori kama [[twiga]], [[tembo]], [[pundamilia]], [[nyati]] na wengine wengi. Pia kuna [[Ndege (mnyama)|ndege]] wa aina nyingi wakiwemo ''[[flamingo]]'', na [[misitu]] katika mlima Meru ni makazi ya [[nyani]].


Kupanda Mlima Meru inachukua siku tatu hadi nne na wakati mzuri wa kupanda mlima ni kuanzia mwezi Juni hadi Februari ambapo mvua zinaweza kunyesha katika mwezi wa Novemba. Na wakati mzuri wa kuona Kilimanjaro kutokea Meru ni mwezi kati ya Desemba na Februari.
Kupanda Mlima Meru kunachukua [[siku]] [[tatu]] hadi [[nne]] na wakati mzuri kwa kupanda mlima ni kuanzia [[Mwezi (wakati)|mwezi]] [[Juni]] hadi [[Februari]] ambapo [[mvua]] zinaweza kunyesha katika mwezi [[Novemba]]. Na wakati mzuri wa kuona [[mlima Kilimanjaro]] kutokea Meru ni kati ya [[Desemba]] na Februari.

==Tazama pia==
* [[Orodha ya volkeno nchini Tanzania]]


==Marejeo==
==Marejeo==
Mstari 20: Mstari 24:
* [http://www.intimate_places.com Tembelea Meru]
* [http://www.intimate_places.com Tembelea Meru]
* [http://www.tanzania_adventure.com/mount_meru Mlima Meru]
* [http://www.tanzania_adventure.com/mount_meru Mlima Meru]
{{mbegu-jio-Tanzania}}

[[Jamii:Milima ya Tanzania]]
[[Jamii:Milima ya Tanzania]]
[[Jamii:Volkeno za Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Arusha]]

Pitio la 12:38, 1 Machi 2018

Mlima Meru, mwaka 2012.
Mlima Meru kutoka juu.

Mlima Meru ni mlima wa volkeno wenye urefu wa mita 4565 (futi 15064) juu ya usawa wa bahari. Mlima huo ni wa tano kwa urefu katika bara la Afrika.

Mlima Meru unapatikana ndani ya Hifadhi ya Arusha ambayo ilianzishwa mwaka 1960 na ambapo wanyamapori kuzunguka Maziwa ya Momella na volkeno ya Ngurudoto (Ngurudoto crater) walihifadhiwa na kulindwa katika eneo hili.

Hifadhi hiyo ina ukubwa wa kilometa za mraba 137 na ipo umbali wa kilometa 35 kutoka mji wa kitalii wa Arusha na Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro.

Kilele cha Mlima Meru.

Vivutio katika hifadhi hiyo vinajumuisha volkeno, maziwa, misitu na wanyamapori kama twiga, tembo, pundamilia, nyati na wengine wengi. Pia kuna ndege wa aina nyingi wakiwemo flamingo, na misitu katika mlima Meru ni makazi ya nyani.

Kupanda Mlima Meru kunachukua siku tatu hadi nne na wakati mzuri kwa kupanda mlima ni kuanzia mwezi Juni hadi Februari ambapo mvua zinaweza kunyesha katika mwezi Novemba. Na wakati mzuri wa kuona mlima Kilimanjaro kutokea Meru ni kati ya Desemba na Februari.

Tazama pia

Marejeo

Majarida ya Utalii na maliasili za Tanzania

Viungo vya nje