Tofauti kati ya marekesbisho "Lisbon"

Jump to navigation Jump to search
146 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
d (→‎Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|es}} (3) using AWB (10903))
}}
[[Picha:Po-map.png|thumb|Lisbon katika Ureno]]
'''Lisbon''' (kwa [[Kireno]]: ''Lisboa'') ni [[mji mkuu]] wa [[Ureno]], pia [[mji]] mkubwa wa nchi mwenyewenye wakazi 560,000 na pamoja na [[rundiko la mji]] ni [[milioni]] [[mbili]].
 
Mji uko kando laya [[mto Tejo]] kwenye kona ya [[kusini]]-[[magharibi]] ya [[Ulaya]] [[Mwambao|mwambaoni]] wakwa [[Atlantiki]].
 
== Historia ==
Mji ulijulikana tangu [[karne ya 3 KK]] kwa jina la "Olispo". Wakati wa [[Dola la Roma|Kiroma]] ulikuwa mji mkuu wa [[jimbo]] la [[Lusitania]].
# [[719]] ulitwaliwa na [[Waarabu]].
# [[1147]] Lisbon ilitwaliwa na [[mfalme]] Mreno [[Dom Afonso Henriques]].
# [[1256]] mfalme [[Afonso III]] alipelekaalihamisha mji mkuu kutoka [[Coimbra]] kuja Lisbon.
# [[1499]] alirudi [[Vasco da Gama]] alirudi Lisbon kutoka [[safari]] yake ya kwanza ya [[Uhindi]] akaanzisha kipindi cha [[utajiri]] kwa Ureno na mji kutokana [[biashara]] ya [[Ukoloni|kikoloni]].
# [[Karne ya 16]]: Lisbon imekua na kuwa mji mkubwa [[duniani]] unaojulikana wakati ule mwenyewenye wakazi 350,000.
# [[1 Novemba]] [[1755]] [[tetemeko la ardhi]] liliharibu [[theluthi]] mbili za mji na kuua watu 60,000.
# [[5 Oktoba]] [[1910]] [[Jamhuri ya Ureno]] lilitangazwailitangazwa Lisbon.
# [[1926]]: [[mapinduzi]] ya kijeshi yalimaliza [[demokrasia]] na kuanzisha kipindi cha [[udikteta]] katiiakatika Ureno
# [[1974]]: mapinduzi ya kijeshi yalimaliza udikteta na kuanzisha kipindi kipya cha demokrasia
 
== Viungo vya Njenje ==
{{commonscat}}
* [http://www.cm-lisboa.pt/ Tovuti rasmi ya Lisbon]
* [http://www.jordibusque.com/Index/Stories/AlfamaCastelo/AlfamaCastelo_01.html Alfama & Castelo]
* [http://www.travel2lisbon.com/ Picha za Lisbon]
 
{{commonscatmbegu-jio-Ureno}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
 
[[Jamii:Ureno]]

Urambazaji