Masedonia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Replacing Macedonia_topography.svg with File:Macedonia_topography-en.svg (by CommonsDelinker because: File renamed: File renaming criterion #4: To harmonize the file name
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Greater Macedonia.png|thumb|right|335px|Eneo la Masedonia la kihistoria limegawanyika leo hii kati ya nchi za kisasa za [[Ugiriki]], [[Jamhuri ya Masedonia]], [[Bulgaria]], [[Albania]] na [[Serbia]].]]
[[File:Greater Macedonia.png|thumb|right|335px|Eneo la Masedonia la kihistoria limegawanyika leo hii kati ya nchi za kisasa za [[Ugiriki]], [[Jamhuri ya Masedonia]], [[Bulgaria]], [[Albania]] na [[Serbia]].]]
[[File:Macedonia topography-en.svg|thumb|right|335px|Ramani ya topografia ya Masedonia]]
[[File:Macedonia topography-en.svg|thumb|right|335px|Ramani ya topografia ya Masedonia.]]
'''Masedonia''' (pia: '''Makedonia''') ni eneo la kijiografia na kihistoria kwenye [[rasi]] ya [[Balkani]] katika [[Ulaya]] [[kusini]] [[mashariki]].


'''Masedonia''' (pia: '''Makedonia''') ni eneo la kijiografia na kihistoria kwenye rasi ya [[Balkani]] katika [[Ulaya]] kusini mashariki. Katika mwendo wa historia mipaka yake yalibadilika mara nyingi na leo hii ni takriban kilomita za mraba 67,000 zinazohesabiwa humo zinazokaliwa na watu milioni 4,7. Eneo hili limegawanyika hasa kati ya nchi za [[Ugiriki]], [[Jamhuri ya Masedonia]] na [[Bulgaria]]; maeneo madogo yamo ndani ya [[Serbia]] na [[Albania]].
Katika mwendo wa [[historia]] mipaka yake ilibadilika mara nyingi na leo hii ni takriban [[kilomita za mraba]] 67,000 zinazohesabiwa humo zinazokaliwa na [[watu]] [[milioni]] 4,7.


Eneo hili limegawanyika hasa kati ya nchi za [[Ugiriki]], [[Jamhuri ya Masedonia]] na [[Bulgaria]]; maeneo madogo yamo ndani ya [[Serbia]] na [[Albania]].
Katika karne ya 4 KK eneo hili lilikuwa kiini cha [[ufalme wa Masedonia]] uanojulikana hasa kutokana na wafalme wake [[Filipo I]] na [[Aleksanda Mkuu]]. Wakati ule Masedonia ilihesabiwa kama sehemu ya utamaduni wa Kigiriki.


Katika [[karne ya 4 KK]] eneo hili lilikuwa kiini cha [[ufalme wa Masedonia]] unaojulikana hasa kutokana na [[wafalme]] wake [[Filipo I]] na [[Aleksanda Mkuu]]. Wakati ule Masedonia ilihesabiwa kama sehemu ya [[utamaduni]] wa [[Ugiriki wa kale]].
Baadaye makabila ya Kislavoni yalihamia hapa. Leo hii wakazi wengi wa Masedonia ya kihistoria nje ya Ugiriki wanatumia [[lugha za Kislavoni]] wakati ndani ya Masedonia ya Kigiriki wanatumia lugha ya [[Kigiriki]].

Baadaye [[Kabila|makabila]] ya [[Waslavi]] yalihamia hapa. Leo hii wakazi wengi wa Masedonia ya kihistoria nje ya [[Ugiriki]] wanatumia [[lugha za Kislavoni]] wakati ndani ya Masedonia ya Kigiriki wanatumia [[lugha]] ya [[Kigiriki]].


[[Category:Balkani]]
[[Category:Balkani]]
[[Jamii:Jamhuri ya Masedonia]]
[[Jamii:Ugiriki]]

Pitio la 13:27, 23 Februari 2018

Eneo la Masedonia la kihistoria limegawanyika leo hii kati ya nchi za kisasa za Ugiriki, Jamhuri ya Masedonia, Bulgaria, Albania na Serbia.
Ramani ya topografia ya Masedonia.

Masedonia (pia: Makedonia) ni eneo la kijiografia na kihistoria kwenye rasi ya Balkani katika Ulaya kusini mashariki.

Katika mwendo wa historia mipaka yake ilibadilika mara nyingi na leo hii ni takriban kilomita za mraba 67,000 zinazohesabiwa humo zinazokaliwa na watu milioni 4,7.

Eneo hili limegawanyika hasa kati ya nchi za Ugiriki, Jamhuri ya Masedonia na Bulgaria; maeneo madogo yamo ndani ya Serbia na Albania.

Katika karne ya 4 KK eneo hili lilikuwa kiini cha ufalme wa Masedonia unaojulikana hasa kutokana na wafalme wake Filipo I na Aleksanda Mkuu. Wakati ule Masedonia ilihesabiwa kama sehemu ya utamaduni wa Ugiriki wa kale.

Baadaye makabila ya Waslavi yalihamia hapa. Leo hii wakazi wengi wa Masedonia ya kihistoria nje ya Ugiriki wanatumia lugha za Kislavoni wakati ndani ya Masedonia ya Kigiriki wanatumia lugha ya Kigiriki.