Tofauti kati ya marekesbisho "Yuda Tadei"

Jump to navigation Jump to search
40 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
{{Mitume 12 wa Yesu}}
{{Yesu Kristo}}
'''Yuda Tadei''' ni [[jina]] la mmojawapo kati ya [[Mitume wa Yesu]], ambalo [[Injili]] zinajitahidi kumtofautisha na [[Yuda Iskarioti]], [[msaliti]] wa [[Yesu]].
 
Habari zake za hakika zinategemea [[Agano Jipya]] ambamo anatajwa katika orodha ya [[Thenashara]] ambao waliteuliwa na [[Yesu Kristo]] kama [[msingi]] wa [[taifa]] jipya la [[Mungu]] wakatumwa naye kuhubiri na kuponya.
 
[[Injili ya Yohane]] tu inaripoti [[neno]] lake [[moja]], katika simulizi la [[karamu ya mwisho]], alipomuuliza Yesu imekuwaje atajifunua kwao lakini si kwa [[ulimwengu]] (14:22). Yesu alimjibu kwamba yeyote anayempenda atashika neno lake, na [[Baba]] atampenda na kufanya [[maskani]] yake kwake pamoja na [[Mwana]].
 
Anafikiriwa na wengi kuwa [[mwandishi]] wa [[Waraka wa Yuda]], lakini hakuna hakika kwa sababu jina hilo la [[babu]] wa [[Wayahudi]] wote lilikuwa la kawaida mno.
 
==Tazama pia==
 
{{mbegu-mtu-Biblia}}
[[Jamii:Waliofariki karne ya 41]]
[[Jamii:Watu wa Biblia]]
[[Jamii:Wafuasi wa Yesu]]

Urambazaji