Salawe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎top: wa wa --> wa; new lines; double spaces using AWB
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Salawe''' ni kata ya [[Wilaya ya Shinyanga Vijijini]] katika [[Mkoa wa Shinyanga]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17,247 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Shinyanga District Council]</ref>
'''Salawe''' ni kata ya [[Wilaya ya Shinyanga Vijijini]] katika [[Mkoa wa Shinyanga]], [[Tanzania]] yenye [[msimbo wa posta]] '''37214'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode</ref>. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17,247 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Shinyanga District Council]</ref>


Kata ya Salawe inapakana na [[Mkoa wa Mwanza]].
Kata ya Salawe inapakana na [[Mkoa wa Mwanza]].

Pitio la 21:02, 19 Januari 2018

Salawe ni kata ya Wilaya ya Shinyanga Vijijini katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania yenye msimbo wa posta 37214[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17,247 waishio humo.[2]

Kata ya Salawe inapakana na Mkoa wa Mwanza.

Shughuli za kilimo

Shughuli kuu wanzofanya katika kata hii ni kilimo , na zao kuu ambayo wanayategemea ni mpunga na mahindi.

Wakazi wa kata ya Salawe wanajishughulisha na kilimo cha jembe la mkono ambapo wakazi wa kata hiyo hulima mazao kama vile mpunga, mahindi,nyanya, viazi vitamu na ndengu pamoja na mbonga za majani kama vile msusa na mboga nyingine za majani. Mboga hizi za majani hupatika na kwa njia ya umwagiliaji. Wakati wa uvunaji wa mazao jamii ya watu wa kata ya salawe hujuuika kwa pamoja na mara nyingi muhusika mwenye mazao huandaa chula kwa ajiri ya shughuli hiyo wakati wa uvunaji wa mazao hayo.

Shughuli za kibiashara

Katika kata ya salawe biashara inayo shika kasi kwa kiasi kikubwa ni biashara ya nyanya ambapo wakazi wengi hujishughulisha na zao hilo kibiashara katika kuwaingizia kipato cha kila siku. Shughuli nyingine ni kama vile biashara za wanyama kama vile ng'ombe kondoo, mbuzi pamoja na ndege kama vile kuku pamoja na biashara nyingine wanazofanya wanadamu.

Shughuli za kijamii

Katika shughuli za kijamii kama vile ndoa mwanaume hutoa mahari kubwa kama vile ng'ombe ishilini hususani mwanamke anapokuwa na rangi nyeupe au mweupe, mara nyingi ndoa nyingi hufanyika kipindi cha kilimo ambapo watu huweza kuwa na chakula cha kutosha kwa ajili ya tukio la harusi. Mahari hutolewa mara nyingi na baba wa mtoto anazeoa hususani mtoto wa kiume. Mara nyingi kinapo tokea kitu katika kata hii kama vile msiba watu wote hujumuika kwa pamoja.

Marejeo

Kata za Wilaya ya Shinyanga vjijini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania

Bukene | Didia | Ilola | Imesela | Iselamagazi | Itwangi | Lyabukande | Lyabusalu | Lyamidati | Masengwa | Mwakitolyo | Mwalukwa | Mwamala | Mwantini | Mwenge | Nsalala | Nyamalogo | Nyida | Pandagichiza | Puni | Salawe | Samuye | Solwa | Tinde | Usanda | Usule


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Salawe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.