Mwangaza unaoonekana : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Uangavu unaoonekana hadi Mwangaza unaoonekana: kufuata ushauri wa kamusi ya Sapce Lexikon / swahili
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Mwangaza''' ni tabia ya [[nyota]] inayosaidia kuzitofautisha. Kuna tofauti kati ya '''mwangaza unaoonekana''' na '''mwangaza halisi'''.
'''Mwangaza''' ni tabia ya [[nyota]] inayosaidia kuzitofautisha. Kuna tofauti kati ya '''mwangaza unaoonekana''' na '''mwangaza halisi'''.

Umbali kati ya vitu kwenye anga la nje ni kubwa sana. Nyota kubwa kama iko mbali inaonekana hafifu, nyota ndogo kama iko karibu inaonekana angavu sana.
Umbali kati ya vitu kwenye anga la nje ni kubwa sana. Nyota kubwa kama iko mbali inaweza kuonekana hafifu, nyota ndogo kama iko karibu inaonekana angavu sana.

* '''Mwangaza unaoonekana''' ni kipimo cha ukali wa nuru wa gimba la angani jinsi unavyoonekana kwa mtazamaji kwenye dunia yetu. Unatajwa kwa namba na kizio chake ni magnitudo, kifupi mag. Kadri uang‘avu ni juu namba yake ni ndogo. <ref>Robert Bruce Thompson; Barbara Fritchman Thompson, ''Astronomy Hacks'' (Sebastopol, CA: O'Reilly, 2005), p. 88</ref> Kitu ang‘avu zaidi angani ni jua letu kenye uang‘avu unaonekana wa -−26,73 mag. Nyota ya Rijili Kantori ( [[:en:Alpha Centauri]]) inaonekana ang‘avu kushinda nyota kubwa zaidi ya Jibuta la Jauza kwa sababu iko karibu zaidi na dunia.
* '''Mwangaza unaoonekana''' ni kipimo cha ukali wa nuru wa gimba la angani jinsi unavyoonekana kwa mtazamaji kwenye dunia yetu. Unatajwa kwa namba na kizio chake ni magnitudo, kifupi mag. Kadri uang‘avu ni juu namba yake ni ndogo. <ref>Robert Bruce Thompson; Barbara Fritchman Thompson, ''Astronomy Hacks'' (Sebastopol, CA: O'Reilly, 2005), p. 88</ref> Kitu ang‘avu zaidi angani ni jua letu kenye uang‘avu unaonekana wa -−26,73 mag. Nyota ya Rijili Kantori ( [[:en:Alpha Centauri]]) inaonekana ang‘avu kushinda nyota kubwa zaidi ya Jibuta la Jauza kwa sababu iko karibu zaidi na dunia.
Mstari 8: Mstari 8:

==Kipimo cha magnitudo==
==Kipimo cha magnitudo==
Kwa kutaja kiasi cha mwangaza wanaastronomia hutumia kizio cha "magnitudo" (kifupi mag). Neno hili la [[Kilatini]] linamaanisha "ukubwa". Kadri mwangaza ni mkubwa namba ya magnitudo ni ndogo.
Kwa kutaja kiasi cha mwangaza wanaastronomia hutumia kizio cha "magnitudo" (kifupi '''mag'''). Neno hili la [[Kilatini]] linamaanisha "ukubwa". Kadri mwangaza ni mkubwa namba ya magnitudo ni ndogo.

Kwa mfano nyota ya [[Sumbula]] ina magnitudo ya +1,04 mag. [[Rijili ya Jabari]] inayojulikana pia kama [[:en:Rigel|Rigel]] ina uanganvu unaoonekana wa +0.12 mag maana yake nuru yake ni kali zaidi.
Kwa mfano nyota ya [[Sumbula]] ina magnitudo ya mag +1,04. [[Rijili ya Jabari]] inayojulikana pia kama [[:en:Rigel|Rigel]] ina mwangaza unaoonekana wa mag +0.12 maana yake tunaona nuru yake kali zaidi.

Kama gimba la anga inang'aa sana ina [[namba hasi]] kwa mfano nyota angavu sana kama [[Shira]] ''(Sirius)'' na [[sayari]] za [[Zuhura]] ''(Venus)'' au [[Mshtarii]] ''(Jupiter)''.
Kama gimba la anga inang'aa sana ina [[namba hasi]] kwa mfano nyota angavu sana kama [[Shira]] ''(Sirius)'' na [[sayari]] za [[Zuhura]] ''(Venus)'' au [[Mshtarii]] ''(Jupiter)''.

Kipimo hakifuati mstari bali vizio vyake vinafuatana kwa hatua za [[logi]]. kwa hiyo ongezeko la mwangaza kutoka kizio kimoja hadi kile kidogo zaidi kinachofuata ni takriban mara 2.5
Kipimo hakifuati mstari bali vizio vyake vinafuatana kwa hatua za [[logi]]. Kwa hiyo ongezeko la mwangaza kutoka kizio kimoja hadi kile kidogo zaidi kinachofuata ni takriban mara 2.5.

== Historia ya kipimo ==
== Historia ya kipimo ==
Mstari 21: Mstari 21:
Baadaye skeli ya kale ilipanushwa pande zote mbili kwa kupokea pia magimba angavu zaidi au hafifu zaidi. Kufuatana na ufafanuzi wa mwaka 1850 ungavu wa nyota ya daraja la kwanza (1.0 mag) ni mara 100 mwangaza wa nyota ya 6.0 mag, na hiyo mara 100 kuliko nyota ya 11.0 mag.
Baadaye skeli ya kale ilipanushwa pande zote mbili kwa kupokea pia magimba angavu zaidi au hafifu zaidi. Kufuatana na ufafanuzi wa mwaka 1850 ungavu wa nyota ya daraja la kwanza (1.0 mag) ni mara 100 mwangaza wa nyota ya 6.0 mag, na hiyo mara 100 kuliko nyota ya 11.0 mag.

Mwanzoni nyota ya [[Kutubu]] (Polaris) ilifafanuliwa kuwa na mag +2. Baada ya kutambua ya kwamba Kutubu ni [[nyota geugeu]] sasa ni Vega inayotumiwa kama nyota ya kurejelea yenye mag 0 (inaweza kuonekana angavu zaidi kidogo). Kuna nyota nne tu zinazoonekana angavu zaidi ([[Shira (nyota)|Shira ''(Sirius)'']], [[Suheli|Suheli ''(Canopus)'']], [[Rijili Kantori|Rijili Kantori ''(Rigil Kentaurus, α Cen)'' ]] na [[Simaki|Simaki (Arcturus)]]), Shira ina mag -1.46.
== Mifano ya mwangaza unaoonekana na halisi ==

{| class="wikitable" style="margin-left:2em"

|- class=
== Mifano ya mwangaza unaoonekana==
! Nyota

! Mwangaza
unaoonekana
(m)
{| class="wikitable"
! Mwangaza
halisi
(M)
|+ Kiwango cha juu cha mwangaza unaoonekana
wa magimba ya angani kadhaa
! Umbali<ref>Umbali katika astronomia mara nyingi hutajwa kwa [[parsec]]; kizio hiki ni sawa na [[miaka ya nuru]] 3.26</ref>

! Jina
|style="text-align:center"| [[Jua]]
! [[Gimba la angani|Aina ya kiolwa]]
|style="text-align:center"| −26,73 mag
! Magnitudo
ya juu
iliyotazamiwa
|style="text-align:center"| {{0}}+4,84 mag
|style="text-align:center"| 4,851·10−6 pc

| [[Jua]] || [[Nyota]] || align="right" |mag −26,73
|style="text-align:center"| [[Shira]]
([[:en:Sirius]])
|style="text-align:center"| {{0}}−1,46 mag
|style="text-align:center"| {{0}}+1,43 mag
|style="text-align:center"| 2,64 pc

| Jua ikitazamiwa
kutoka
Neptuni|| nyota || align="right" |mag −19,35
|style="text-align:center"| [[Vega]]

|style="text-align:center"| {{0}}+0,03 mag
|style="text-align:center"| {{0}}+0,58 mag
|style="text-align:center"| 7,75 pc

| [[Mwezi mpevu]] || [[Mwezi (gimba la angani)|Mwezi]] || align="right" |mag −12,73
|style="text-align:center"| [[Sumbula]]
([[:en:Spica]])
|style="text-align:center"| {{0}}+1,04 mag
|style="text-align:center"| {{0}}−3,51 mag
|style="text-align:center"| 81,3 pc

| [[Satelaiti ya Iridium]] || [[satelaiti]] || align="right" |mag −9{{0|,00}}
|style="text-align:center"| [[Rijili ya Jabari]]
([[:en:Rigel]])
|style="text-align:center"| {{0}}+0,12 mag
|style="text-align:center"| {{0}}−6,78 mag
|style="text-align:center"| 240 pc

| [[Kituo cha Anga cha Kimataifa ISS|ISS]] || [[chombo cha angani]] || align="right" |mag −5{{0|,00}}
|style="text-align:center"| [[Dhanabu]]
([[:en:Deneb]])

|style="text-align:center"| {{0}}+1,25 mag
| [[Zuhura|Zuhura (Venus)]] || [[sayari]] || align="right" |mag −4,67
|style="text-align:center"| {{0}}−7,24 mag

|style="text-align:center"| 499 pc
| [[Mshtarii]] || sayari || align="right" |mag −2,94

| [[Mirihi]] || sayari || align="right" |mag −2,91

| [[Utaridi]] || sayari || align="right" |mag −1,9{{0}}

| [[Shira (nyota)|Shira (Sirius)]] || nyota || align="right" |mag −1,46

| [[Suheli|Suheli (Canopus)]] || nyota || align="right" |mag −0,73

| [[Zohali]] || sayari || align="right" |mag −0,47

| [[Vega]] || nyota || align="right" |mag 0,03<ref>Imefafanuliwa kidesturi kama “0“ katika skeli ya mwangaza unaoonekana; hali halisi kuna tofauti ndogo</ref>

| [[Kutubu]] || nyota || align="right" | mag 1,97

| [[Galaksi ya Andromeda]] || [[galaksi]] || align="right" | mag 3,4{{0}}

| [[Uranus]] || sayari || align="right" | mag 5,5{{0}}

| [[1 Ceres]] || [[sayari kibete]] || align="right" | mag 6,6{{0}}

| [[Neptuni]] || sayari || align="right" | mag 7,8{{0}}

| [[Pluto]] || sayari kibete || align="right" | mag 13,9{{0}}

| [[Eris (sayari kibete)|Eris]] || sayari kibete || align="right" | mag 18,8{{0}}

==Marejeo==
==Marejeo==

Pitio la 12:16, 14 Januari 2018

Mwangaza ni tabia ya nyota inayosaidia kuzitofautisha. Kuna tofauti kati ya mwangaza unaoonekana na mwangaza halisi.

Umbali kati ya vitu kwenye anga la nje ni kubwa sana. Nyota kubwa kama iko mbali inaweza kuonekana hafifu, nyota ndogo kama iko karibu inaonekana angavu sana.

• Mwangaza unaoonekana ni kipimo cha ukali wa nuru wa gimba la angani jinsi unavyoonekana kwa mtazamaji kwenye dunia yetu. Unatajwa kwa namba na kizio chake ni magnitudo, kifupi mag. Kadri uang‘avu ni juu namba yake ni ndogo. [1] Kitu ang‘avu zaidi angani ni jua letu kenye uang‘avu unaonekana wa -−26,73 mag. Nyota ya Rijili Kantori ( en:Alpha Centauri) inaonekana ang‘avu kushinda nyota kubwa zaidi ya Jibuta la Jauza kwa sababu iko karibu zaidi na dunia.
• Mwangaza halisi ni kipimo cha ukali wa nuru jinsi ingeonekana kwa mtazamji aliyeko katika umbali sanifu. Umbali huu ulisanifishwa kuwa miaka ya nuru 32.6[2][3] Kipimo hiki kinawaruhusu wanaastronomia kulinganisha uang‘avu wa magimba kwa kutumia umbali sanifu.

Kipimo cha magnitudo

Kwa kutaja kiasi cha mwangaza wanaastronomia hutumia kizio cha "magnitudo" (kifupi mag). Neno hili la Kilatini linamaanisha "ukubwa". Kadri mwangaza ni mkubwa namba ya magnitudo ni ndogo.

Kwa mfano nyota ya Sumbula ina magnitudo ya mag +1,04. Rijili ya Jabari inayojulikana pia kama Rigel ina mwangaza unaoonekana wa mag +0.12 maana yake tunaona nuru yake kali zaidi.

Kama gimba la anga inang'aa sana ina namba hasi kwa mfano nyota angavu sana kama Shira (Sirius) na sayari za Zuhura (Venus) au Mshtarii (Jupiter).

Kipimo hakifuati mstari bali vizio vyake vinafuatana kwa hatua za logi. Kwa hiyo ongezeko la mwangaza kutoka kizio kimoja hadi kile kidogo zaidi kinachofuata ni takriban mara 2.5.

Historia ya kipimo

Chanzo cha vipimo hivi ni kazi ya Hipparchos wa Nikaia mtaalamu wa Ugiriki ya Kale. [4] Aliorodhesha nyota kufuatana na uanganvu akazipanga nyota angavu zaidi kwenye daraja la kwanza, zile zilizonekana hafifu zaidi katika madaraja ya pili, tatu na kadhalika hadi daraja la sita. Orodha yake ilikuwa msingi wa kitabu mashuhuri cha Almagest cha Klaudio Ptolemaio kilichoendelea kuwa msingi wa utaalamu wa nyota hadi mwisho wa karne za kati.

Baadaye skeli ya kale ilipanushwa pande zote mbili kwa kupokea pia magimba angavu zaidi au hafifu zaidi. Kufuatana na ufafanuzi wa mwaka 1850 ungavu wa nyota ya daraja la kwanza (1.0 mag) ni mara 100 mwangaza wa nyota ya 6.0 mag, na hiyo mara 100 kuliko nyota ya 11.0 mag.

Mwanzoni nyota ya Kutubu (Polaris) ilifafanuliwa kuwa na mag +2. Baada ya kutambua ya kwamba Kutubu ni nyota geugeu sasa ni Vega inayotumiwa kama nyota ya kurejelea yenye mag 0 (inaweza kuonekana angavu zaidi kidogo). Kuna nyota nne tu zinazoonekana angavu zaidi (Shira (Sirius), Suheli (Canopus), Rijili Kantori (Rigil Kentaurus, α Cen) na Simaki (Arcturus)), Shira ina mag -1.46.

Mifano ya mwangaza unaoonekana

Kiwango cha juu cha mwangaza unaoonekana
wa magimba ya angani kadhaa
Jina Aina ya kiolwa Magnitudo
ya juu
iliyotazamiwa
Jua Nyota mag −26,73
Jua ikitazamiwa
kutoka
Neptuni
nyota mag −19,35
Mwezi mpevu Mwezi mag −12,73
Satelaiti ya Iridium satelaiti mag −9,00
ISS chombo cha angani mag −5,00
Zuhura (Venus) sayari mag −4,67
Mshtarii sayari mag −2,94
Mirihi sayari mag −2,91
Utaridi sayari mag −1,90
Shira (Sirius) nyota mag −1,46
Suheli (Canopus) nyota mag −0,73
Zohali sayari mag −0,47
Vega nyota mag 0,03[5]
Kutubu nyota mag 1,97
Galaksi ya Andromeda galaksi mag 3,40
Uranus sayari mag 5,50
1 Ceres sayari kibete mag 6,60
Neptuni sayari mag 7,80
Pluto sayari kibete mag 13,90
Eris sayari kibete mag 18,80

Marejeo

1. Robert Bruce Thompson; Barbara Fritchman Thompson, Astronomy Hacks (Sebastopol, CA: O'Reilly, 2005), p. 88
2. Rony De Laet, The Casual Sky Observer's Guide: Stargazing with Binoculars and Small Telescopes (New York: Springer, 2012), p. 29
3. au parsec 10
4. Leila Belkora, Minding the Heavens: The Story of our Discovery of the Milky Way (Bristol: Institute of Physics, 2003), pp. 19–20
5. Imefafanuliwa kidesturi kama “0“ katika skeli ya mwangaza unaoonekana; hali halisi kuna tofauti ndogo