Tofauti kati ya marekesbisho "Uainishaji wa kisayansi"

Jump to navigation Jump to search
65 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Uainishaji.png|right|thumb|150px|Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi.]]
'''Uainishaji wa kisayansi''' ([[ing.]] ''[[:simple:biological classification|biological classification]], [[:en:taxonomy (biology)|taxonomy]]'') ni jinsi [[wataalamu]] wa [[biolojia]] wanavyopanga [[viumbehai]] kama [[mimea]] na [[wanyama]] kwa vikundi kwenye ngazi mbalimbali. Inaweza kuitwa pia '''taksonomia'''.
 
Tangu muda mrefu watu walitambua ya kwamba wanyama au mimea mbalimbali wanafanana kati yao kwa namna moja au nyingine. Wataalamu walijaribu kupanga aina hizo kwa vikundi vyenye tabia za pamoja. [[Carolus Linnaeus]] alianza kuzipanga kwa muundo ulioeleweka kulingana na tabia za [[maumbile]] yao.

Urambazaji