Tofauti kati ya marekesbisho "Delta (herufi)"

Jump to navigation Jump to search
1 byte added ,  miaka 4 iliyopita
link
No edit summary
(link)
 
Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za [[Kigiriki]] inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika [[hesabu]] na [[fisikia]]. Inaweza kutumiwa kutaja [[pembe]] ya nne katika [[pembenne]].
 
Katika [[astronomia]] inatumiwa kuanza hesabu ya [[nyota]] katika [[kundinyota]]. Katika [[Johannjina la Bayer|mfumo wa Bayer]] inataja nyota angavu ya nne katika kundinyota fulani.
 
Asili ya delta ni herufi ya [[kifinisia]] ya daleth ([[D|tazama makala ya D]]). Matamshi yake ni kama [[D]] ya Kiswahili.

Urambazaji