Rukia yaliyomo

Joseph Kabila : Tofauti kati ya masahihisho

64 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[Atanasi wa Aleksandria]][[Picha:Joseph kabila.jpg|thumb|250px|Joseph Kabila]]
'''Joseph Kabila Kabange''' (* [[4 Juni]] [[1971]]) ni [[Orodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|rais]] wa [[nne]] wa [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]].
 
Aliingia katika uraisi[[urais]] baada ya [[kifo]] cha babake[[baba]] yake Rais [[Laurent-Desiree Kabila]] aliyeuawa na [[wanajeshi]] tar.[[tarehe]] [[16 Januari]] [[2001]]. Wanasiasa wengine walimteua [[mwana]] kuwa raisirais badala ya baba.
 
Katika [[uchaguzi]] wa kitaifa wa tarehe [[30 Julai]] [[2006]] alipata [[kura]] nyingi kuliko wagombea wote kuwa raisirais lakini hakufikia [[nusu]] ya kura zote. Katika uchaguzi wa pili kati yeyeyake na [[Jean-Pierre Bemba]] alishinda akathebitishwaakathibitishwa kuwa rais tar.tarehe [[17 Novemba]] [[2006]]. Joseph Kabila ni rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyechaguliwa na wananchi wote katika uchaguzi huru.
 
== Maisha yake ==
{{DEFAULTSORT:Kabila, Joseph}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1971]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]
[[Jamii:Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]