Msomaji : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Msomaji''' ni mtu anayesoma maandishi fulani, hasa vitabu. Kwa njia hiyo anapokea ujumbe kutoka kwa waandishi. ==Katika Ukristo== Katika...'
 
No edit summary
Mstari 7: Mstari 7:


Hasa wanaojiandaa kupata [[ushemasi]] na [[upadri]] wanatakiwa kupitia kwanza usomaji na [[usindikizi]] kama matayarisho kwa [[daraja takatifu]] hizo.
Hasa wanaojiandaa kupata [[ushemasi]] na [[upadri]] wanatakiwa kupitia kwanza usomaji na [[usindikizi]] kama matayarisho kwa [[daraja takatifu]] hizo.

==Viungo vya nje==
*[http://www.orthodoxpsalm.org/resources/Halvorsen.html ''Church Reading: A Vital Ministry''] by Deacon Sergius Halvorsen (Orthodox)
*[http://www.russianorthodoxchurch.ws/synod/pictures/12seattle_8.jpg Photo: Tonsure of a Reader]


{{mbegu}}
{{mbegu}}

Pitio la 07:28, 26 Novemba 2017

Msomaji ni mtu anayesoma maandishi fulani, hasa vitabu. Kwa njia hiyo anapokea ujumbe kutoka kwa waandishi.

Katika Ukristo

Katika Ukristo ni hasa jina la mtu anayesoma kutoka katika Biblia wakati wa ibada, akiwa amejiandaa kutoa huduma hiyo kwa kiwango cha ubora ili Neno la Mungu lisikike vizuri.

Katika Kanisa Katoliki na baadhi ya madhehebu mengine, waumini wanaweza kukabidiwa huduma hiyo kwa namna ya kudumu.

Hasa wanaojiandaa kupata ushemasi na upadri wanatakiwa kupitia kwanza usomaji na usindikizi kama matayarisho kwa daraja takatifu hizo.

Viungo vya nje