Neema : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Neema''' ni Huruma ya Mungu kwa wanadamu inayoambatana na Baraka.
'''Neema''' ni jambo lolote jema ambalo [[binadamu]] anapata katika [[maisha]] yake.


[[Neno]] lenye maana mbalimbali, kama vile za kiroho na za kiuchumi, lakini zote zinaelekeza kumfikiria [[Mungu]] kama [[asili]] yake kuu.
[[Neno]] hilo kwa [[Kiswahili]] ni pana, lenye maana mbalimbali, kama vile mema ya [[Roho|kiroho]] na ya [[Uchumi|kiuchumi]], lakini zote zinaelekeza kumfikiria [[Mungu]] kama [[asili]] yake kuu. Ni [[huruma]] ya Mungu kwa wanadamu inayoambatana na [[baraka]].


[[Teolojia]] katika [[dini]] mbalimbali inatumia neno hili kadiri ya [[imani]] yake.
[[Teolojia]] katika [[dini]] mbalimbali inatumia neno hili kadiri ya [[imani]] yake.


Kwa namna ya pekee neno linatiwa mkazo katika [[Ukristo]] unaosisitiza kwamba yote ni neema (kwa [[Kigiriki]]: χάρις, kharis; kwa [[Kilatini]]: gratia).
Kwa namna ya pekee neno linatiwa mkazo katika [[Ukristo]] unaosisitiza kwamba mambo yote ni neema (kwa [[Kigiriki]]: χάρις, kharis; kwa [[Kilatini]]: gratia, yaani deso, kitu cha bure).


Hata hivyo [[madhehebu]] yake yanatofautiana sana katika kutafsiri tamko hilo.
Hata hivyo [[madhehebu]] yake yanatofautiana sana katika kutafsiri tamko hilo.

Pitio la 06:44, 14 Novemba 2017

Neema ni jambo lolote jema ambalo binadamu anapata katika maisha yake.

Neno hilo kwa Kiswahili ni pana, lenye maana mbalimbali, kama vile mema ya kiroho na ya kiuchumi, lakini zote zinaelekeza kumfikiria Mungu kama asili yake kuu. Ni huruma ya Mungu kwa wanadamu inayoambatana na baraka.

Teolojia katika dini mbalimbali inatumia neno hili kadiri ya imani yake.

Kwa namna ya pekee neno linatiwa mkazo katika Ukristo unaosisitiza kwamba mambo yote ni neema (kwa Kigiriki: χάρις, kharis; kwa Kilatini: gratia, yaani deso, kitu cha bure).

Hata hivyo madhehebu yake yanatofautiana sana katika kutafsiri tamko hilo.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.