Vipimo sanifu vya kimataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Vipimo sanifu vya kimataifa''' ([[ing.]] [[:en:International system of measurements|International system of measurements]], [[far.]]: '''Système International d'unités'''; kifupi chake: '''SI''') ni utaratibu uliokubaliwa kimataifa kwa kuwa na [[kizio|vizio]] vya upimaji vya pamoja duniani. Maendeleo na matumizi ya utaratibu huo huangaliwa na [[Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo]].
'''Vipimo sanifu vya kimataifa''' ([[ing.]]
[[:en:International system of measurements|International system of measurements]], [[far.]]: '''Système International d'unités'''; kifupi chake: '''SI''') ni utaratibu uliokubaliwa kimataifa kwa kuwa na [[kizio|vizio]] vya upimaji vya pamoja duniani. Maendeleo na matumizi ya utaratibu huo huangaliwa na [[Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo]].


Mfumo huu unatumia vizio saba vya kimsingi pamoja na viambishi awali 20 kwa kutaja [[vigawe]] au sehemu za vizio hivi katika mfumo wa [[viambishi awali vya vipimo sanifu]] vya SI.
Msingi wa utaratibu huu ni [[mita]]. Vizio vingine ni vya urefu ([[mita]]), masi ([[kilogramu]]), wakati ([[sekondi]]), mkondo wa umeme ([[ampea]]), halijoto ([[kelvini]]), kanieneo ([[paskali]]), kiasi cha dutu ([[moli]]), mwangaza au ukalifu nunurikaji ([[kandela]]).

Vizio vya kimsingi ni:
* urefu ([[mita]]),
* masi ([[kilogramu]]),
* wakati ([[sekunde]]),
* mkondo wa umeme ([[ampea]]),
* halijoto ([[kelvini]]),
* kanieneo ([[paskali]]),
* kiasi cha dutu ([[moli]]),
* mwangaza ([[kandela]])

Vizio vyote vingine kama vile eneo, shinikizo au ukinzani kiumeme vinatokana na vizio asilia.


[[Kipimo|Vipimo]] hivi hutumika na wanasayansi duniani. Katika maisha ya kawaida kuna vipimo mbalimbali vinavyoweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi.
[[Kipimo|Vipimo]] hivi hutumika na wanasayansi duniani. Katika maisha ya kawaida kuna vipimo mbalimbali vinavyoweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi.


Kwa ajili ya uwingi au sehemu ya vipimo hivi kuna mfuno wa kutumia [[viambishi awali vya vipimo sanifu]] vya SI.


==Tazama pia==
==Tazama pia==
*[[Vipimo asilia vya Kiswahili]]==
*[[Vipimo asilia vya Kiswahili]]


[[Jamii:Vipimo]]
[[Jamii:Vipimo]]

Pitio la 12:49, 12 Novemba 2017

Vipimo sanifu vya kimataifa (ing. International system of measurements, far.: Système International d'unités; kifupi chake: SI) ni utaratibu uliokubaliwa kimataifa kwa kuwa na vizio vya upimaji vya pamoja duniani. Maendeleo na matumizi ya utaratibu huo huangaliwa na Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo.

Mfumo huu unatumia vizio saba vya kimsingi pamoja na viambishi awali 20 kwa kutaja vigawe au sehemu za vizio hivi katika mfumo wa viambishi awali vya vipimo sanifu vya SI.


Vizio vya kimsingi ni:

Vizio vyote vingine kama vile eneo, shinikizo au ukinzani kiumeme vinatokana na vizio asilia.

Vipimo hivi hutumika na wanasayansi duniani. Katika maisha ya kawaida kuna vipimo mbalimbali vinavyoweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi.


Tazama pia