Bahari ya Mashariki ya China : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3: Mstari 3:
na [[Bahari ya China Kusini]].<ref>Pinxian Wang, Qianyu Li, Chun-Feng Li, ''Geology of the China Seas'' (2014), p. 667.</ref> <ref>"The four seas of China, the Bohai Sea, the Huanghai Sea, the East China Sea, and the South China Sea, occupy a total area of about 4.7 million km2, half of the area of China mainland. These seas are located in the southeastern margin of the Eurasian continent and subject to the interactions between the Eurasian, Pacific, and Indian-Australian plates. The seas have complicated geology and rich natural resources". Zhou Di, Yuan-Bo Liang, Chʻeng-kʻuei Tseng, ''Oceanology of China Seas'' (1994), Volume 2, p. 345.</ref>

[[Bahari]] hiyo ni sehemu ya [[Bahari ya Pasifiki]] na inachukua eneo la [[kilomita za mraba]] zipatazo 1,249,000. Nchini [[Uchina]], bahari hii inaitwa '''Bahari ya Mashariki'''.
[[Bahari]] hiyo ni sehemu ya [[Bahari ya Pasifiki]] na inachukua eneo la [[kilomita za mraba]] zipatazo 1,249,000. Nchini [[Uchina]], bahari hii inaitwa '''Bahari ya Mashariki'''.

Nchini [[Korea Kusini]], bahari hii kuna kipindi huitwa '''Bahari ya Kusini''', lakini hii mara nyingi hutumiwa kutajia eneo la karibu na pwani ya kusini mwa nchi ya [[Korea Kusini]].
Nchini [[Korea Kusini]], bahari hii kuna kipindi huitwa '''Bahari ya Kusini''', lakini hii mara nyingi hutumiwa kutajia eneo la karibu na pwani ya kusini mwa nchi ya [[Korea Kusini]].
Mstari 19: Mstari 19:
{{Mbegu-jio-Asia}}
{{Mbegu-jio-Asia}}
[[Jamii:Pasifiki]]
[[Jamii:Pasifiki]]
[[Jamii:Bahari za pembeni]]
[[Jamii:Bahari ya pembeni]]
[[Jamii:Bahari]]
[[Jamii:Bahari]]
[[Jamii:Uchina]]
[[Jamii:Uchina]]

Pitio la 08:12, 11 Novemba 2017

Ramani ya Bahari ya Uchina ya Mashariki, inaonyesha kanda iliyoizunguka, visiwa na nchi.

Bahari ya Uchina ya Mashariki ni bahari ya pembeni iliyopo kando ya mashariki mwa nchi ya Uchina, pamoja na Bahari ya Njano na Bahari ya China Kusini.[1] [2]

Bahari hiyo ni sehemu ya Bahari ya Pasifiki na inachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 1,249,000. Nchini Uchina, bahari hii inaitwa Bahari ya Mashariki.

Nchini Korea Kusini, bahari hii kuna kipindi huitwa Bahari ya Kusini, lakini hii mara nyingi hutumiwa kutajia eneo la karibu na pwani ya kusini mwa nchi ya Korea Kusini.

Tanbihi

  1. Pinxian Wang, Qianyu Li, Chun-Feng Li, Geology of the China Seas (2014), p. 667.
  2. "The four seas of China, the Bohai Sea, the Huanghai Sea, the East China Sea, and the South China Sea, occupy a total area of about 4.7 million km2, half of the area of China mainland. These seas are located in the southeastern margin of the Eurasian continent and subject to the interactions between the Eurasian, Pacific, and Indian-Australian plates. The seas have complicated geology and rich natural resources". Zhou Di, Yuan-Bo Liang, Chʻeng-kʻuei Tseng, Oceanology of China Seas (1994), Volume 2, p. 345.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Mashariki ya China kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.