Nile ya buluu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
imeunganishwa na Abbai
No edit summary
Mstari 16: Mstari 16:
| miji =
| miji =
}}
}}



[[Picha:Nile ya buluu.png|thumb|290px|Ramani ya Nile ya buluu]]
[[Picha:Nile ya buluu.png|thumb|290px|Ramani ya Nile ya buluu]]
'''Nile ya buluu''' ni tawimto mkubwa wa mto Nile. Inaanza katika [[Ziwa Tana]] kwenye nyanda za juu za [[Ethiopia]] na kutelemka hadi Sudan. Mdomo wake ni [[Sudan]] mjini [[Khartum]] inapounganika na [[Nile nyeupe]] na kuunda mto wa Nile mwenyewe.
'''Nile ya buluu''' ni [[tawimto]] mkubwa wa [[mto Nile]]. Inaanza katika [[Ziwa Tana]] kwenye [[nyanda za juu]] za [[Ethiopia]] na kutelemka hadi Sudan. [[Mdomo]] wake uko [[Sudan]] [[Mji|mjini]] [[Khartum]] inapounganika na [[Nile nyeupe]] na kuunda mto wa Nile wenyewe.


Kwa jumla Nile ya bluu inabeba maji mengi kushinda Nile nyeupe.
Kwa jumla Nile ya bluu inabeba [[maji]] mengi kushinda Nile nyeupe.


'Ndani ya nchi Ethiopia mto huitwa kwa jina ''Abbai''' (''mto mkubwa'', pia '''Abay''' au '''Abai''') ni [[mto]] mkubwa kabisa katika [[Ethiopia]].
Ndani ya Ethiopia mto huitwa kwa jina ''Abbai'' (''mto mkubwa'', pia '''Abay''' au '''Abai''') ni [[mto]] mkubwa kabisa wa [[Ethiopia]].


Baada ya kutoka Ethiopia na kuingia [[Sudan]] inaitwa kwa ([[Kiarabu]]: النيل الأزرق; '''an-nīl al-azraq''').
Baada ya kutoka Ethiopia na kuingia [[Sudan]] inaitwa kwa [[Kiarabu]]: النيل الأزرق; '''an-nīl al-azraq'''.


Ina chanzo chake kwenye kimo cha mita 1800 juu ya [[UB]] inapotoka katika [[Ziwa Tana]] katika nyanda za juu za Ethiopia. Kwanza inaelekea kusini-mashariki lakini inabadilika mwelekeo kwenda magharibi halafu kaskazini.
Ina [[Chanzo (mto)|chanzo]] chake kwenye [[kimo]] cha [[mita]] 1800 juu ya [[UB]] inapotoka katika [[Ziwa Tana]] katika nyanda za juu za Ethiopia. Kwanza inaelekea kusini-mashariki lakini inabadilika mwelekeo kwenda magharibi halafu kaskazini.


Waethiopia wengi wanasemekana kuitazama kama mto mtakatifu.
Waethiopia wengi wanasemekana kuitazama kama mto mtakatifu.


==Tazama pia==
* [[Mito mirefu ya Afrika]]
{{mbegu-jio-Afrika}}


{{mbegu-jio-Afrika}}
[[Jamii:Nile]]
[[Jamii:Nile]]
[[Jamii:Mito ya Ethiopia]]
[[Jamii:Mito ya Ethiopia]]
[[Jamii:Mito ya Sudan]]
[[Jamii:Mito ya Sudan]]
[[Jamii:Mito ya Afrika]]

Pitio la 14:04, 6 Novemba 2017

Mto wa Nile ya buluu (Ethiopia: Abbai)
Maporomoko ya Tis Issat ya Nile ya buluu
Chanzo Ziwa Tana (chemchemi ya Gishe Abbai)
Mdomo Mto Nile mjini Khartum (Sudan)
Nchi Ethiopia, Sudan
Urefu 1.350 km
Kimo cha chanzo 1830 m
Mkondo ?? m³/s
Eneo la beseni 326,400 km²
Ramani ya Nile ya buluu

Nile ya buluu ni tawimto mkubwa wa mto Nile. Inaanza katika Ziwa Tana kwenye nyanda za juu za Ethiopia na kutelemka hadi Sudan. Mdomo wake uko Sudan mjini Khartum inapounganika na Nile nyeupe na kuunda mto wa Nile wenyewe.

Kwa jumla Nile ya bluu inabeba maji mengi kushinda Nile nyeupe.

Ndani ya Ethiopia mto huitwa kwa jina Abbai (mto mkubwa, pia Abay au Abai) ni mto mkubwa kabisa wa Ethiopia.

Baada ya kutoka Ethiopia na kuingia Sudan inaitwa kwa Kiarabu: النيل الأزرق; an-nīl al-azraq.

Ina chanzo chake kwenye kimo cha mita 1800 juu ya UB inapotoka katika Ziwa Tana katika nyanda za juu za Ethiopia. Kwanza inaelekea kusini-mashariki lakini inabadilika mwelekeo kwenda magharibi halafu kaskazini.

Waethiopia wengi wanasemekana kuitazama kama mto mtakatifu.

Tazama pia

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nile ya buluu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.