Tofauti kati ya marekesbisho "Mkoa wa Mtwara"

Jump to navigation Jump to search
122 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Tanzania Mtwara location map.svg|thumb|right|260px|Mahali pa Mkoa wa Mtwara katika Tanzania]]
 
'''Mtwara''' ni [[jina]] la [[mji]] na [[mkoa]] wa [[Tanzania]] wenye [[postikodi]] [[namba]] '''63000''' <ref>https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Mkoa_wa_Mtwara&action=edit</ref>
 
'''Mkoa wa Mtwara''' ni kati ya mikoa 31 ya [[Tanzania]]. Uko katika pembe la [[kusini]]-[[mashariki]] kabisa la nchi. Umepakana na [[Mkoa wa Lindi]] upande wa [[kaskazini]], [[Bahari Hindi]] kwa mashariki, [[Msumbiji]] katika kusini na [[Mkoa wa Ruvuma]] upande wa [[magharibi]]. Mpaka wa kusini ni [[Mto Ruvuma]].

Urambazaji