Niue : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ru}} using AWB (10903)
No edit summary
 
Mstari 49: Mstari 49:
}}
}}
[[Image:Niue-cia-world-factbook-map.png|thumb|250px]]
[[Image:Niue-cia-world-factbook-map.png|thumb|250px]]
'''Niue''' ni [[nchi ya kisiwani]] katika [[Pasifiki]] ya kusini. Ni nchi ya kujitawala inayoshiriki na [[New Zealand]] inayoratibu [[siasa]] ya nje na mambo ya ki[[jeshi]].
'''Niue''' ni [[nchi ya kisiwani]] katika [[Pasifiki]] ya kusini.
Ni nchi ya kujitawala inayoshiriki na [[New Zealand]] inayoratibu [[siasa]] ya nje na mambo ya ki[[jeshi]].


Karibu wenyeji wote wanaishi huko New Zealand.
Karibu wenyeji wote wanaishi huko New Zealand.


Niue iko [[km]] 2,400 kaskazini-magharibi kwa New Zealand kati ya [[Tonga]], [[Samoa]] na [[Visiwa vya Cook]]. Inahesabiwa kati ya visiwa vya [[Polinesia]] ikiitwa "Mwamba wa Polinesia".
Niue iko [[km]] 2,400 kaskazini-magharibi kwa New Zealand kati ya [[Tonga]], [[Samoa]] na [[Visiwa vya Cook]].


Inahesabiwa kati ya visiwa vya [[Polinesia]] ikiitwa "Mwamba wa Polinesia".
Wakazi ni [[Wakristo]], hasa [[Wakalvini]] (67%), halafu [[Wakatoliki]] (10%). Pia kuna Wamormoni (10%).


Wakazi ni [[Wakristo]], hasa [[Wakalvini]] (67%), halafu [[Wakatoliki]] (10%). Pia kuna [[Wamormoni]] (10%).
{{mbegu-jio}}

==Tazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]


{{Pasifiki}}
{{Pasifiki}}
{{mbegu-jio}}


[[Jamii:Nchi za Australia na Pasifiki]]
[[Jamii:Nchi za Australia na Pasifiki]]

Toleo la sasa la 13:22, 30 Oktoba 2017

Niue

Niue ni nchi ya kisiwani katika Pasifiki ya kusini.

Ni nchi ya kujitawala inayoshiriki na New Zealand inayoratibu siasa ya nje na mambo ya kijeshi.

Karibu wenyeji wote wanaishi huko New Zealand.

Niue iko km 2,400 kaskazini-magharibi kwa New Zealand kati ya Tonga, Samoa na Visiwa vya Cook.

Inahesabiwa kati ya visiwa vya Polinesia ikiitwa "Mwamba wa Polinesia".

Wakazi ni Wakristo, hasa Wakalvini (67%), halafu Wakatoliki (10%). Pia kuna Wamormoni (10%).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.