Trinidad na Tobago : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
Mstari 65: Mstari 65:


Upande wa [[dini]] wengi (63%) ni [[Ukristo|Wakristo]] wa [[madhehebu]] mbalimbali, kuanzia [[Kanisa Katoliki]] (21.5%), [[Wapentekoste]] (12%) na [[Anglikana]] (5.7%). [[Wahindu]] ni 18% na [[Waislamu]] ni 5%.
Upande wa [[dini]] wengi (63%) ni [[Ukristo|Wakristo]] wa [[madhehebu]] mbalimbali, kuanzia [[Kanisa Katoliki]] (21.5%), [[Wapentekoste]] (12%) na [[Anglikana]] (5.7%). [[Wahindu]] ni 18% na [[Waislamu]] ni 5%.

==Tazama pia==
* [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi]]


== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==

Pitio la 11:06, 30 Oktoba 2017

Trinidad na Tobago

Jamhuri ya Trinidad na Tobago ni nchi ya visiwani katika Karibi ya kusini, karibu na pwani ya Venezuela, kusini kwa kisiwa cha Grenada cha Antili Ndogo. Nchi jirani nyingine kuvukia bahari ni Barbados na Guyana.

Nchi ina eneo la km² 5,128 ambalo karibu lote ni kisiwa kikuu cha Trinidad. Kile cha Tobago kina asilimia 6 tu za eneo pamoja na 4% ya wakazi. Kuna visiwa vidogo vingine 21.

Ni jamhuri mwanachama wa Jumuiya ya Madola.

Watu

Wakazi wengi wana asili ya India (37.6%), lakini pia ya Afrika (36.3%) na sehemu nyingine. Hivyo kuna machotara wa aina mbalimbali (24.2%).

Lugha rasmi ni Kiingereza, lakini wananchi wengi wanaongea kwa kawaida aina mbili za Krioli. Asilimia 5 wanaongea Kihispania.

Upande wa dini wengi (63%) ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali, kuanzia Kanisa Katoliki (21.5%), Wapentekoste (12%) na Anglikana (5.7%). Wahindu ni 18% na Waislamu ni 5%.

Tazama pia

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Trinidad na Tobago kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.