Yohane IV : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Yohannes IV.jpg|thumb|250px|right|Yohane IV]]
[[Picha:Yohannes IV.jpg|thumb|250px|right|Yohane IV]]
'''Yohannes IV''' (* [[1831]] kwa jina la Dejazmach Kassay; † [[10 Machi]] [[1889]] Metemma, [[Sudan]]) alikuwa Ras wa [[Tigray]] na [[Kaisari]] wa [[Ethiopia]] kati ya [[1872]]–[[1889]]. Alimfuata [[Tewodros II]] akifaulu kutawala juu ya majimbo yote ya Ethiopia.

[[1876]] aliweza kuzuia mashambulio ya [[Misri]] dhidi ya Ethiopia.
Aliuawa katika [[mapigano ya Metemna]] dhidi ya jeshi la [[Dola la Mahdi|Mahdi]] tar. [[10 Machi]] [[1889]]. Kichwa chake kilikatwa na kuonyeshwa baadaye [[Omdurman]].
'''Yohannes IV''' (* [[1831]] kwa jina la Dejazmach Kassay; † [[10 Machi]] [[1889]] Metemma, [[Sudan]]) alikuwa Ras wa [[Tigray]] na [[Kaisari]] wa [[Ethiopia]] kati ya [[1872]]–[[1889]]. Baada ya kumshinda [[Tekle Giyorgis II]] vitani, alimfuata [[Tewodros II]] katika kutawala juu ya majimbo yote ya Ethiopia.

[[1876]] aliweza kuzuia mashambulio ya [[Misri]] dhidi ya Ethiopia.
Aliuawa katika [[mapigano ya Metemna]] dhidi ya jeshi la [[Dola la Mahdi|Mahdi]] tar. [[10 Machi]] [[1889]]. Kichwa chake kilikatwa na kuonyeshwa baadaye mjini [[Omdurman]].

{{DEFAULTSORT:Yohane IV}}
{{DEFAULTSORT:Yohane IV}}

Pitio la 03:35, 27 Oktoba 2017

Yohane IV

Yohannes IV (* 1831 kwa jina la Dejazmach Kassay; † 10 Machi 1889 Metemma, Sudan) alikuwa Ras wa Tigray na Kaisari wa Ethiopia kati ya 18721889. Baada ya kumshinda Tekle Giyorgis II vitani, alimfuata Tewodros II katika kutawala juu ya majimbo yote ya Ethiopia.

1876 aliweza kuzuia mashambulio ya Misri dhidi ya Ethiopia.
Aliuawa katika mapigano ya Metemna dhidi ya jeshi la Mahdi tar. 10 Machi 1889. Kichwa chake kilikatwa na kuonyeshwa baadaye mjini Omdurman.

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yohane IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.