Ugiriki ya Kale : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
d (All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|hr}} (4) using AWB (10903)) |
No edit summary |
||
'''Ugiriki ya Kale''' ni kipindi katika historia ambapo Ugiriki ulipanuka katika eneo kubwa la [[Mediteraneo|Mediteranea]] na Bahari Nyeusi, na kudumu kwa karibu [[milenia]] moja, hadi [[Ukristo]] ulipoanza.
Unadhaniwa na wanahistoria wengi kuwa ni [[utamaduni]] anzilishi wa [[ustaarabu]] wa [[Magharibi]]. Utamaduni wa Kigiriki ulikuwa na nguvu kubwa ya ushawishi katika [[Dola la Roma]], ambalo lilibeba sehemu ya utamaduni huo katika sehemu nyingi za [[Ulaya]].
|