Kunyanyua vyuma : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mfano wa vyuma vya mazoezi. '''Kunyanyua vyuma''' ni moja ya mazoezi maarufu kwa ajili ya kujenga nguvu na kukuza mifupa. M...'
 
No edit summary
Mstari 4: Mstari 4:

Michezo mbalimbali duniani hutumia aina hii ya mazoezi kuimarisha nguvu na afya za wachezaji. Michezo hii ni kama vile mpira wa vikapu, mpira wa miguu, mpira wa magongo, riadha, mieleka, n.k.

{{mbegu}}

Pitio la 16:28, 16 Oktoba 2017

Mfano wa vyuma vya mazoezi.

Kunyanyua vyuma ni moja ya mazoezi maarufu kwa ajili ya kujenga nguvu na kukuza mifupa. Mazoezi ya aina hii hufanywa kwa kunyanyua vyuma vyenye uzito wa aina mbalimbali.