Tofauti kati ya marekesbisho "Seminari"

Jump to navigation Jump to search
172 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 33 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q233324 (translate me))
[[File:Stations at SHAS.jpg|thumb|Waseminari wakishiriki [[ibada]] ya [[Njia ya Msalaba]] kwenye [[Ijumaa Kuu]], [[2009]].]]
'''Seminari''' ni muundo wa [[malezi]] unaotoa mafunzo ya [[dini]], hususan [[Ukristo]], yakiwa pengine pamoja na [[elimu dunia]].
 
'''Seminari kuu''', au '''vyuo vya teolojia''', ni muundo wa [[malezi]] ya juu kwa watu wanaolenga [[upadri]] au [[huduma]] nyingine ya [[uongozi]] katika [[Kanisa]].
 
Tofauti na hiyo, '''seminari ndogo''' inalea [[vijana]] kuanzia baadhi ya [[darasa|madarasa]] ya [[shule ya msingi]] hadi vidato vya [[sekondari]].
 
[[Neno]] linatokana na [[Kilatini]]: ''seminarium'' ina maana ya ''[[kitalu]]'', mfano uliotumiwa na [[Mtaguso wa Trento]] katika hati ''Cum adolescentium aetas'' ambayo ilianzisha seminaraseminari za kwanza za kisasa.<ref>XXIII Session, [[Council of Trent]], ch. XVIII. Retrieved from {{cite book | url = http://history.hanover.edu/texts/trent/ct23.html | title = The Canons and Decrees of the Sacred and Oecumenical Council of Trent | editor = J. Waterworth | location = London | publisher = Dolman | year= 1848 | pages = 170–92 | accessdate = June 16, 2009}}</ref>
 
Baada ya muundo huo kuenea katika [[Kanisa Katoliki]], hata [[madhehebu]] mengine na hatimaye [[dini]] nyingine vimeanza kutumia mbinu hiyo.
==Marejeo==
{{Reflist}}
 
{{mbegu-dini}}
 
[[Category:Ukristo]]

Urambazaji