Rukia yaliyomo

Taka : Tofauti kati ya masahihisho

94 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Taka''' (kwa Kiingereza "waste")ni bidhaa au kifaa chochote kisichohitajika au kisichoweza kutumika,au taka ni kifaa chochote kilichotupwa ba...')
 
No edit summary
[[Picha:WasteFinalDeposited.jpg|thumb|235x235px|takaTaka zikiwa kwenye [[shimo]].]]
'''Taka''' (kwa [[Kiingereza]] "waste") ni [[bidhaa]] au [[kifaakitu]] chochote kisichohitajika au kisichoweza kutumika tena, au ni [[takakifaa]] ni kifaa chochote kilichotupwa baada ya matumizi ya [[msingi]] aukwa kuwa hakina [[kazi]] yoyote kwa mtumiaji.
[[Picha:WasteFinalDeposited.jpg|thumb|235x235px|taka zikiwa kwenye shimo]]
 
Taka zina [[athari]] nyingi katika [[jamii]].Athari hizo ni 1.Taka husababisha [[magonjwa]] mbalimbali ikiwemo [[homa ya manjano]],[[minyoo]],[[kansa]] n.k 2.Husababisha uharibifu wa [[mazingira]].hufanya mazingira kuwa machafu. 3.Taka husababisha uharibifu wa [[maji]],[[misitu]].n.k 4.Taka zikichomwa hutoa [[moshi]] ambao husababisha uharibifu wa [[tabaka la ozoni]] ambalo hupunguza [[mwanga]] wa [[jua]] kufikia kwenye [[ardhi]] ya [[dunia]]. Hivyo tunashauriwa kutupa taka kwenye [[mashimo]] na kisha kuzichoma [[moto]] ili zisije zikaleta [[madhara]] kwenye jamii.
Taka zina [[athari]] nyingi katika [[jamii]]. Athari hizo niː
̽*1. Taka husababisha [[magonjwa]] mbalimbali ikiwemo [[homa ya manjano]],[[minyoo]], [[kansa]] n.k.
*2. Husababisha [[uharibifu wa mazingira]]: hufanya [[mazingira]] kuwa machafu.
*3. Taka husababisha uharibifu wa [[maji]], [[misitu]] n.k.
*4. Taka zikichomwa hutoa [[moshi]] ambao husababisha uharibifu wa [[tabaka la ozoni]] ambalo ni muhimu kwa kupunguza [[mwanga]] wa [[jua]] kufikia kwenye [[ardhi]] ya [[dunia]].
 
Hivyo tunashauriwa kutupa taka kwenye [[mashimo]] na kisha kuzichoma [[moto]] ili zisije zikaleta [[madhara]] kwenye jamii.
 
{{mbegu-biolojia}}
 
[[Jamii:Ekolojia]]