Ichijo wa Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|thumb|Mchoro wa Ichijo '''Ichijo''' (15 Julai, 98025 Julai, 1011) alikuwa mfalme mkuu wa 66 (''...'
 
rekebisha kiungo
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Emperor_Ichij%C5%8D.jpg|right|thumb|Mchoro wa Ichijo]]
[[Picha:Emperor_Ichij%C5%8D.jpg|right|thumb|Mchoro wa Ichijo]]
'''Ichijo''' ([[15 Julai]], [[980]] – [[25 Julai]], [[1011]]) alikuwa mfalme mkuu wa 66 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Kanehito'', na alikuwa mwana wa pekee wa Tenno [[En'yu]]. Mwaka wa [[986]] alimfuata binamu yake, Tenno [[Kazan]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1011, siku chache tu kabla ya kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake, [[Sanjo]].
'''Ichijo''' ([[15 Julai]], [[980]] – [[25 Julai]], [[1011]]) alikuwa mfalme mkuu wa 66 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Kanehito'', na alikuwa mwana wa pekee wa Tenno [[En'yu]]. Mwaka wa [[986]] alimfuata binamu yake, Tenno [[Kazan wa Japani|Kazan]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1011, siku chache tu kabla ya kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake, [[Sanjo]].


==Angalia pia==
==Angalia pia==

Toleo la sasa la 06:28, 14 Oktoba 2017

Mchoro wa Ichijo

Ichijo (15 Julai, 98025 Julai, 1011) alikuwa mfalme mkuu wa 66 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Kanehito, na alikuwa mwana wa pekee wa Tenno En'yu. Mwaka wa 986 alimfuata binamu yake, Tenno Kazan, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1011, siku chache tu kabla ya kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake, Sanjo.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ichijo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.