Haumea : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:2003EL61art.jpg|thumb|Kielelezo cha Haumea]]
[[File:2003EL61art.jpg|thumb|Kielelezo cha Haumea]]
'''Haumea''' ni [[sayari kibete]] inayozunguka [[jua]] letu katika [[umbali]] mkubwa kwenye [[ukanda wa Kuiper]]. Iitambuliwa mwaka
'''Haumea''' ni [[sayari kibete]] inayozunguka [[jua]] letu katika [[umbali]] mkubwa kwenye [[ukanda wa Kuiper]]. Ilitambuliwa [[mwaka]] [[2004]].


Haumea ina [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] miwili: [[Hiiaka]] na [[Namaka]].
Haumea ina [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] miwili: [[Hiiaka]] na [[Namaka]].


Haumea inapita obiti yake ya kuzunguka Jua katika muda wa miaka 283 na miezi 6.<ref>[http://www.johnstonsarchive.net/astro/astmoons/am-136108.html (136108) Haumea, Hi'iaka, and Namaka ], data za haumea kwenye tovuti ya johnstonsarchive.net, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
Haumea inapita [[obiti]] yake ya kuzunguka Jua katika [[muda]] wa miaka 283 na miezi 6.<ref>[http://www.johnstonsarchive.net/astro/astmoons/am-136108.html (136108) Haumea, Hi'iaka, and Namaka ], data za haumea kwenye tovuti ya johnstonsarchive.net, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>


[[Periheli]] yake ina umbali wa [[vizio astronomia]] 35, [[afeli]] wa vizio astronomia 51 kutoka Jua.
[[Periheli]] yake ina umbali wa [[vizio astronomia]] 35, [[afeli]] wa vizio astronomia 51 kutoka Jua.


Obiti ina mwinamo wa nyuzi 28,2° dhidi ya [[ekliptiki]].
Obiti ina mwinamo wa nyuzi 28,2° dhidi ya [[ekliptiki]].


Masi yake ni takriban theluthi moja ya [[Pluto]]. Umbo halifanani na tufe; umbo la Haumea limefananishwa na kiazi au sigara. Vipimo vyake vinakadiriwa kuwa kilomita 2,322 × 1,701 × 1,138.
[[Masi]] yake ni takriban [[theluthi]] moja ya [[Pluto]]. [[Umbo]] halifanani na tufe; umbo la Haumea limefananishwa na [[kiazi]] au [[sigara]]. Vipimo vyake vinakadiriwa kuwa [[kilomita]] 2,322 × 1,701 × 1,138.


Nadharia moja inajaribu kueleza umbo na mzunguko wake wa haraka kutokana na mgongano na gimba kubwa takriban miaka bilioni 4 iliyopita.<ref>[http://web.gps.caltech.edu/~mbrown/2003EL61 Haumea the strangest known object in the Kuiper belt], tovuti ya Caltech, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>. Kutokana na mgongano huu inadhaniwa ya kwamba vipande vingi vya gimba la awali viliachana na Haumea vikiifuata sasa kama wingu la vipande vidogo.<ref>[http://www.nature.com/nature/journal/v446/n7133/full/nature05619.html?foxtrotcallback=true A collisional family of icy objects in the Kuiper belt], hitimisho ya makala kwenye tovuti ya nature.com, Nature 446, 294-296 (15 March 2007), iliangaliwa Oktoba 2017</ref>
[[Nadharia]] moja inajaribu kueleza umbo na mzunguko wake wa haraka kutokana na mgongano na gimba kubwa takriban miaka [[bilioni]] 4 iliyopita.<ref>[http://web.gps.caltech.edu/~mbrown/2003EL61 Haumea the strangest known object in the Kuiper belt], tovuti ya Caltech, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>. Kutokana na mgongano huu inadhaniwa ya kwamba vipande vingi vya gimba la awali viliachana na Haumea vikiifuata sasa kama [[wingu]] la vipande vidogo.<ref>[http://www.nature.com/nature/journal/v446/n7133/full/nature05619.html?foxtrotcallback=true A collisional family of icy objects in the Kuiper belt], hitimisho ya makala kwenye tovuti ya nature.com, Nature 446, 294-296 (15 March 2007), iliangaliwa Oktoba 2017</ref>


== Marejeo ==
== Marejeo ==
<references/>
<references/>

*[http://twitpic.com/59rbgj Haumea jinsi ilivyoonekana tar. 10 Juni 2011]
==Viungo vya nje==
*[http://twitpic.com/59rbgj Haumea jinsi ilivyoonekana tarehe 10 Juni 2011]


{{Mfumo wa jua}}
{{Mfumo wa jua}}

Pitio la 12:25, 12 Oktoba 2017

Kielelezo cha Haumea

Haumea ni sayari kibete inayozunguka jua letu katika umbali mkubwa kwenye ukanda wa Kuiper. Ilitambuliwa mwaka 2004.

Haumea ina miezi miwili: Hiiaka na Namaka.

Haumea inapita obiti yake ya kuzunguka Jua katika muda wa miaka 283 na miezi 6.[1]

Periheli yake ina umbali wa vizio astronomia 35, afeli wa vizio astronomia 51 kutoka Jua.

Obiti ina mwinamo wa nyuzi 28,2° dhidi ya ekliptiki.

Masi yake ni takriban theluthi moja ya Pluto. Umbo halifanani na tufe; umbo la Haumea limefananishwa na kiazi au sigara. Vipimo vyake vinakadiriwa kuwa kilomita 2,322 × 1,701 × 1,138.

Nadharia moja inajaribu kueleza umbo na mzunguko wake wa haraka kutokana na mgongano na gimba kubwa takriban miaka bilioni 4 iliyopita.[2]. Kutokana na mgongano huu inadhaniwa ya kwamba vipande vingi vya gimba la awali viliachana na Haumea vikiifuata sasa kama wingu la vipande vidogo.[3]

Marejeo

  1. (136108) Haumea, Hi'iaka, and Namaka , data za haumea kwenye tovuti ya johnstonsarchive.net, iliangaliwa Oktoba 2017
  2. Haumea the strangest known object in the Kuiper belt, tovuti ya Caltech, iliangaliwa Oktoba 2017
  3. A collisional family of icy objects in the Kuiper belt, hitimisho ya makala kwenye tovuti ya nature.com, Nature 446, 294-296 (15 March 2007), iliangaliwa Oktoba 2017

Viungo vya nje